Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Wazazi wako wanajua kama una teseka[emoji3][emoji3][emoji3]
naijatwittersavages-20190717-0001.jpeg
 
Mapenzi haya asikwambie mtu

Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii,mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za sim

Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi

Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso

Jana tangu asubuhi nampigia sim,hapokei SMS zangu hajibu,whasap na Jf online namuona,namtext hanijibu

Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana

Sijui kwa nini?
This is a disease!

You fell in love with his Digital Copy au tunaita Digital Twin!

Sio original mwenyewe,umependa Haiba yake Ya Kidigitali

It remains to be seen ukija kumuona real him katika physical body sijui kama sentiments zita-sustain!?

Mkuu umefall in love na his digital representative!

You gotta relax honey!
 
Ngoja niwahi kutuliza haya maumivu ya huyu mtoa mada kwanza. Asije akajiua bure.
 
Atakuwa ameomba mbunye mda mrefu unampa yale majibu yenu ya 'Mambo mazuri hayataki haraka'
Ameshakata tamaa tayari
 
Definition ya maisha iko Complicated mno Kama utachukulia Kila kitu on left hand (-Ve Thought). Jaribu kuji-twist kwenye mawazo chanya utaona jinsi maisha yalivyo rahisi. Maybe your crush kaumia mikono, labda kaumwa,labda kaibiwa no nk.

Kua na at least a little faith in everything.

sentensi yako ya mwisho ndio imenifurahisha ndio sentensi yangu nayotumiaga "HAVE A LITTLE FAITH"
 
Mapenzi haya asikwambie mtu

Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii,mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za sim

Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi

Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso

Jana tangu asubuhi nampigia sim,hapokei SMS zangu hajibu,whasap na Jf online namuona,namtext hanijibu

Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana

Sijui kwa nini?
Labda alivyokuwa anategemea kakuta sio, hasa reception! Labda usingemtumia picha za whatsapp
 
Back
Top Bottom