Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Mapenzi haya asikwambie mtu

Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii, mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za simu

Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi

Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso

Jana tangu asubuhi nampigia sim, hapokei SMS zangu hajibu, WhatsApp na Jf online namuona, namtext hanijibu

Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana

Sijui kwa nini?
Pole
 
Back
Top Bottom