Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Distance..nmemjibia[emoji847]Ndio uhalisia.
Kwanini mpaka sasa hamjakutana??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Distance..nmemjibia[emoji847]Ndio uhalisia.
Kwanini mpaka sasa hamjakutana??
Unacheka nini???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This is a disease!Mapenzi haya asikwambie mtu
Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii,mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za sim
Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi
Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso
Jana tangu asubuhi nampigia sim,hapokei SMS zangu hajibu,whasap na Jf online namuona,namtext hanijibu
Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana
Sijui kwa nini?
Hakutaki.Namuona online, SMS zinakuwa delivered !!!
Nmecheka na mengi ujueUnacheka nini???
Hahahaaa moyo wake tu ndo unajua anavyotesekaWazazi wako wanajua kama una teseka[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1163123
Yaani wewe acha tuNmecheka na mengi ujue
Usikute mwenzio katekwa na simu imo mikononi mwa watekaji.Lakini namuona online!!
Asante , nzuri tu vp hukoPole mkuu,habar za siku?
Safi tu,karib npo mwanza nowAsante , nzuri tu vp huko
Shukrani wasalimu huko !Safi tu,karib npo mwanza now
which means?[emoji4][emoji120]
Shukraniwhich means?
[emoji849]Shukrani
Definition ya maisha iko Complicated mno Kama utachukulia Kila kitu on left hand (-Ve Thought). Jaribu kuji-twist kwenye mawazo chanya utaona jinsi maisha yalivyo rahisi. Maybe your crush kaumia mikono, labda kaumwa,labda kaibiwa no nk.
Kua na at least a little faith in everything.
Labda alivyokuwa anategemea kakuta sio, hasa reception! Labda usingemtumia picha za whatsappMapenzi haya asikwambie mtu