Mapenzi haya asikwambie mtu
Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii, mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za simu
Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi
Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso
Jana tangu asubuhi nampigia sim, hapokei SMS zangu hajibu, WhatsApp na Jf online namuona, namtext hanijibu
Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana
Sijui kwa nini?