lete rimoti
Senior Member
- Aug 24, 2021
- 152
- 196
Natamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli.
Siku Endapo nitapata madaraka huko nitahakikisha mnakuwa na Urafiki na Raia. Nitaanzisha angalau project ya Mahusiano Kwa umma.
Vijana ambao tuna project zetu sometimes tunajikuta tunahitaji Sana support yenu baadhi ya sehemu. Yaani hii bongo inafikia kipindi Mtu wa kawaida mwenye madaraka anakufelisha Hadi unahisi nikimpata Mtu walau Mmoja Wa Tiss Basi hapa natoboa.
Wakuu msijifungie, msitutenge tunahitaji support yenu wajomba. Ipo maana kubwa Sana ya uwepo wa idara ya Usalama wa Taifa.