Naumizwa sana na namna ambavyo TISS inakuwa ni ya siri kweli kweli, vijana ambao tuna project zetu sometimes tunahitaji sana support yenu

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
152
Reaction score
196
Natamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli.

Siku Endapo nitapata madaraka huko nitahakikisha mnakuwa na Urafiki na Raia. Nitaanzisha angalau project ya Mahusiano Kwa umma.

Vijana ambao tuna project zetu sometimes tunajikuta tunahitaji Sana support yenu baadhi ya sehemu. Yaani hii bongo inafikia kipindi Mtu wa kawaida mwenye madaraka anakufelisha Hadi unahisi nikimpata Mtu walau Mmoja Wa Tiss Basi hapa natoboa.

Wakuu msijifungie, msitutenge tunahitaji support yenu wajomba. Ipo maana kubwa Sana ya uwepo wa idara ya Usalama wa Taifa.
 
Natamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli. Siku Endapo nitapata madaraka huko.

Nitahakikisha Mnakuwa na Urafiki na Raia. Nitaanzisha angalau project ya Mahusiano Kwa uma.

Na mimi pia nahitaji sana maana nna project nyingi za kiusalama. Maana tunatumia sana system nyingi za nje. Tutengeneze system zetu wenyewe kwa ajili ya kulinda data zetu watanzania na vipaji vyetu.
 
Natamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli. Siku Endapo nitapata madaraka huko.

Nitahakikisha Mnakuwa na Urafiki na Raia. Nitaanzisha angalau project ya Mahusiano Kwa uma.

Vijana ambao tuna project zetu sometimes tunajikuta tunahitaji Sana support yenu baadhi ya sehemu. Yaani hii bongo inafikia kipindi Mtu wa kawaida mwenye madaraka anakufelisha Hadi unahisi nikimpata Mtu walau Mmoja Wa Tiss Basi hapa natoboa.

Wakuu msijifungie, msitutenge tunahitaji support yenu wajomba. Ipo maana kubwa Sana ya uwepo wa idara ya Usalama wa Taifa.
Kuna system nmetengeneza wangepata police nadhani mambo ya kuibiwa watu simu au wakitaka kumtafuta mtu inakuwa rahisi. Kama kuna mtu aje atupe muhongozo jamanii 😐
 
Kuna system nmetengeneza wangepata police nadhani mambo ya kuibiwa watu simu au wakitaka kumtafuta mtu inakuwa rahisi. Kama kuna mtu aje atupe muhongozo jamanii [emoji52]
Nenda kwenye ofisi zao. Waeleze jambo lako.
 
Hapo ulipo hata wewe ni usalama wa taifa sio mpaka uwe tiss ndo uwe usalama wa taifa fanya usalama kwa taifa lako kwa nafasi ulionayoo.....au mnadhani usalama wa taifa ni kupeleka umbeyaa Ikuluu.........we needs change vijanaa Mntavishwaa vijoraa soon.....
 
Hapo ulipo hata wew ni usalama wa taifa sio mpaka uwe tiss ndo uwe usalama wa taifa fanya usalama kwa taifa lako kwa nafasi ulionayoo.....au mnazani usalama wa taifa ni kupeleka umbeyaa ikuluu.........we needs change vijanaa Mntavishwaa vijoraa soon.....
Nadhani haujanielewa. Mimi namaanisha nitengeneze kitu ambacho taifa langu likitumie ktk maswala ya ulinzi au kiusalama. Kama system ya NSA. Kwa ajili ya taifa
 
Nazani aujanielewa. Mm namaanisha nitengeneze kitu ambacho taifa langu likitumie ktk maswala ya ulinzi au kiusalama. Kama system ya NSA. Kwa ajili ua taifa
Hii good safi sana nikajua unataka kupeleka umbeaaa ikulu
 
Uliz wa taifa si unaanzia kwenu vip panya road mshawamaliza hukoo
Natamani tusitumie mifumo ya kizungu. Ma develooer wa kibongo sijui wanafanya nn sio wabunifu. Kama fb, twitter tunatakiwa na sisi tutumie za kwetu ili kulinda data zetu
 
Natamani tusitumie mifumo ya kizungu. Ma develooer wa kibongo sijui wanafanya nn sio wabunifu. Kama fb,twitter tunatakiwa na sisi tutumie zakwetu ili kulinda data zetu
Ku re invent the wheel ndio ubunifu?? Unaposema tusitumie mifumo ya kizungu unamaanisha nini?? Mifumo yote ya serikali ya ki mkakati inatengenezwa hapa nchini na Taasisi za serikali zikishirikiana na mamlaka ya serikali mtandao. Kama wewe pia ni developer jiulize unafanya nini?
 
Ku re invent the wheel ndio ubunifu?? Unaposema tusitumie mifumo ya kizungu unamaanisha nini?? Mifumo yote ya serikali ya ki mkakati inatengenezwa hapa nchini na Taasisi za serikali zikishirikiana na mamlaka ya serikali mtandao. Kama wewe pia ni developer jiulize unafanya nn?
Natamani tuwe kama wachina, Russia au Iran. Katika vitu nyeti kunakuwa na mifumo yetu sio mifumo ya nje.
 
Ku re invent the wheel ndio ubunifu?? Unaposema tusitumie mifumo ya kizungu unamaanisha nini?? Mifumo yote ya serikali ya ki mkakati inatengenezwa hapa nchini na Taasisi za serikali zikishirikiana na mamlaka ya serikali mtandao. Kama wewe pia ni developer jiulize unafanya nn?

Yaani mimi naumia sana navyoona data zetu zinavyokuwa zinakusanywa na wageni.
 
Ku re invent the wheel ndio ubunifu?? Unaposema tusitumie mifumo ya kizungu unamaanisha nini?? Mifumo yote ya serikali ya ki mkakati inatengenezwa hapa nchini na Taasisi za serikali zikishirikiana na mamlaka ya serikali mtandao. Kama wewe pia ni developer jiulize unafanya nn?
Nadhani hata mifumo mingi ya polisi na Jeshi wanatumia ya nje. 🤔
 
Back
Top Bottom