Naumwa hata sijui nini, Nipeni ushauri mbadala

Naumwa hata sijui nini, Nipeni ushauri mbadala

inawezekana mtoto ananyonya sana kuliko kula vyakula vingine,anategemea kushiba kwenye nyonyo,na wewe lishe yako si nzuri so ni kama anakudhoofisha.
USHAURI:
1. jitahidi kula/kunywa mara kwa mara
2. jitahidi kumlisha mtoto vyakula na ashibe haswa,nyonyo iwe kama kiburudisho tu
 
1) Jee, una kawaida ya kunywa maziwa fresh? kama hapana, basi anza.

2) Pata asali mbichi, vijiko viwili vya chakula changanya na mdalasini, kutwa mara tatu.

Ukiona unashindwa kunywa maji mengi ujuwe huyahitaji kwa wakati huo. Usilazimishe. Kunywa unavyoweza tu.
 
Ni Vigumu kidogo kumshauri mgonjwa atumie aina fulani ya dawa wakati hujui kiuhakika anachoumwa,
Kwa dalili ulizosema zinarelate na hatua za awali za kisukari,kapime sukari pia
 
Thanks Madame FaizaFoxy
maziwa huwa sinyi kabisa ila nitajitahidi kufata hiyo namba mbili
 
Last edited by a moderator:
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,

Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote

Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia kichefuchefu,Sina hamu ya kula ,kichwa kinauma kwa mbali ,ninachoka sana yaani nina magonjwa mbadala mengi mengi,not happy ,sijisikii hata kuongea ,sipati hamu ya kula,mie ni mpenzi sana wa maji nakunywa mpaka lita tatu au nne za maji ,lakini sasa hata 1.5 Lts inanishinda

Please Note : Ninanyonyesha mtoto bado ni under one year.

Ni nini jamani ,?
Pima pressure pia. Kuna vidalili vya low blood pressure. But I am not a doctor.
 
Ni Vigumu kidogo kumshauri mgonjwa atumie aina fulani ya dawa wakati hujui kiuhakika anachoumwa,
Kwa dalili ulizosema zinarelate na hatua za awali za kisukari,kapime sukari pia

Kuna kitu kinaitwa "broad spectrum" medicinal effects.

Na tiba mbadala niliyompa ni "broad spectrum" in any sense.
 
Thanks Madame FaizaFoxy
maziwa huwa sinyi kabisa ila nitajitahidi kufata hiyo namba mbili

Yaan wewe ndo km mm! Cnywi maziwa kabisaa harufu yake siiwez hata! Tunafanana..nami pia nna mtoto wa mwaka na miez saba
 
Last edited by a moderator:
poleni mnaougua hivyo, mimi udaktari siujui ila "Mungu" ni fundi
 
Utakua una SLE damu imepungua na rate ya kuongezeka ni ndogo ..nenda ile hospital opp na oilcom mayfair plazza watachukua damu waitume india ili waweze diagonise na ku confirm..hili tatizo limekua very comon hasa kwa akina mama walio zaa
 
Yaan wewe ndo km mm! Cnywi maziwa kabisaa harufu yake siiwez hata! Tunafanana..nami pia nna mtoto wa mwaka na miez saba

Km huwezi harufu yake ukichemsha weka iliki kdg au vanilla au cocoa au coffee
 
Yaani umepima magonjwa yote? Inawezekana kweli? Halafu unataja less than 10.

Nakushauri urudi tena kwenye vipimo,tena zisiwe hospital za serikali (unless iwe ya rufaa).

Msalimie Mr President.
Ugua pole.
 
Pole..ushauri wangu nenda hospital wakufanyie full blood picture diagnosis ili waweze jua tatizo liko wapi mana wamesha sema auna malaria basi yawezekana una anaemia ivyo yabidi ufanyiwe HAEMOGLOBIN ESTIMATION. Possibility yakuwa na ANEMIA 80%.
 
s-l225.jpg
 
Unaumwa wala hujui nini. Nikweli huwezi jua unaumwanini kama hukwenda kupima jibu maswali yangu haya kwa msaada.1 Unamda gani toka uanze kuumwa 2 ulipoanza kuumwa ulienda hospitali kupima? 3 Ulipopima uliambiwa tatizo gani? 4 Una umri gani ili nipate wa kuwalaumu
 
Back
Top Bottom