Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
inawezekana mtoto ananyonya sana kuliko kula vyakula vingine,anategemea kushiba kwenye nyonyo,na wewe lishe yako si nzuri so ni kama anakudhoofisha.
USHAURI:
1. jitahidi kula/kunywa mara kwa mara
2. jitahidi kumlisha mtoto vyakula na ashibe haswa,nyonyo iwe kama kiburudisho tu
USHAURI:
1. jitahidi kula/kunywa mara kwa mara
2. jitahidi kumlisha mtoto vyakula na ashibe haswa,nyonyo iwe kama kiburudisho tu