masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
nilikua na jino lililotoboka na kuuma sana nilipewa dawa 2010 mpaka leo hata kuwasha haliwash dawa ni ya kienyeji ipo kilimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikua na jino lililotoboka na kuuma sana nilipewa dawa 2010 mpaka leo hata kuwasha haliwash dawa ni ya kienyeji ipo kilimanjaro
Masai dada me langu lishaanza naomba unielekeze niliwahi,nipo k'njaro moshi.
sukutua mkojo wako wa asubui ukiamka kwa dakika tano kwa siku tatu, halitauma tena maishani
Are u serious mkuu..? Please hebu niondoe uoga,je mkojo hautanidhuru labda kunichubua kinywa,naomba ufafanuz wko km kuna madhara yanaweza kutokea unaweza kuniambia.
mimi nimeng'oa jino wana JF cha kusikitisha taya la chini hali tembei yaani mdomo haufunguki zaidi ya mm 14 msaada jaman
Mnaambiwa msing'oe meno hamuelewi, unajua jino limeunganisha mishipa ipi na ipi wacha tu uumwe maana hamna namna mpaka muwe vipofu
sukutua mkojo wa asubuhi, ubane mdomoni hata sekunde 30 au dk1 kama utaweza, kaa kama nusu saa piga mswaki, siku tatu ukimaliza halitouma tenaWe peterchoka hiyo dawa inakuaje
jino linaniuma hatari...