Naumwa jino, msaada wa dawa unahitajika

Naumwa jino, msaada wa dawa unahitajika

nilikua na jino lililotoboka na kuuma sana nilipewa dawa 2010 mpaka leo hata kuwasha haliwash dawa ni ya kienyeji ipo kilimanjaro
 
Masai dada me langu lishaanza naomba unielekeze niliwahi,nipo k'njaro moshi.
 
sukutua mkojo wako wa asubui ukiamka kwa dakika tano kwa siku tatu, halitauma tena maishani
 
Are u serious mkuu..? Please hebu niondoe uoga,je mkojo hautanidhuru labda kunichubua kinywa,naomba ufafanuz wko km kuna madhara yanaweza kutokea unaweza kuniambia.
 
Acha uoga mkuu mkojo wako hauna madhara ila wa mtu mwingine, sukutua mkojo kidogo asubuhi kisha ukate kama nusu saa kapige maswali, kwa muda wa siku tatu tu likirudia tena kuuma nitakulipa gharama za usumbufu
 
mimi nimeng'oa jino wana JF cha kusikitisha taya la chini hali tembei yaani mdomo haufunguki zaidi ya mm 14 msaada jaman
 
Mnaambiwa msing'oe meno hamuelewi, unajua jino limeunganisha mishipa ipi na ipi wacha tu uumwe maana hamna namna mpaka muwe vipofu
 
Back
Top Bottom