LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
Wadau nilikuwa naomba msaada wenu kwayeyote anaye jua dawa ya jino iwe ya kienyeji au ya kisasa maana ninajino limetoboka linanikosesha raha kabisa .
Kwa suala la kuling'oa kwakweli sijafikilia na sipendi kabisa ila kama kutakuwa na mtu anayefahamu clinic nzuri ya meno hapa Dar es Salaam ambayo inatoa huduma ya kuziba meno yaliyotoboka please naomba anijuze.