Naumwa naombeni msaada

Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Inaonekana ya 80% Chanzo cha matatizo yao ni wao wenyewe trust me endelea kuogopa hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…