stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Apime kwanza damu kuona kama ana infection kabla ya kuanza dawa...Mtaani mnaiita pawa sefu
Kachome CEFTRIAXONE IV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apime kwanza damu kuona kama ana infection kabla ya kuanza dawa...Mtaani mnaiita pawa sefu
Kachome CEFTRIAXONE IV
Nimesikitika sana!!Siyo wewe Watanzania wengi wanatufikia hospitali wakiwa critical wakati wangekuja mapema wasingefikia hatua hiyo!!!Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Hivi mbona sijamsikia.toka maafa kariakootapeli hilo
Aisee.ngoja nioge niende mloganzilaNimesikitika sana!!Siyo wewe Watanzania wengi wanatufikia hospitali wakiwa critical wakati wangekuja mapema wasingefikia hatua hiyo!!!
TRUE SCENARIOS
1.Mgonjwa mmoja wa kiume umri wake miaka 52 ,siku ya jumatatu alikuwa anasikia kichwa kinaume(Headache) akaenda tuka la dawa akanunua dawa za Malaria na na dawa za maumivu(Ant Malaria+Analgesics) akarudi nyumani .Jumanne kichwa na mwili kukosa nguvu ikazidi bado hataki kwenda hospitali,akaenda maabara za mtaani akapima mkojo(Urinalysis) na Typhoid akambiwa ana UTI akaenda kununua dawa !
Jumatano akashinda kichwa Bado kinauma ,alhamisi kichwa Bado kipo .
Ijumaa kuamkia Jumamosi kichwa kikazidi mdomo ukapinda akawa hawezi kumalizia sentensi kwa kuongeza
Kufika hospitali pressure inasoma 210/150mmHg
Tayari alikuwa ameshapata stroke ambayo imesababishwa na neglected Hypertension (Shinikizo la Damu kubwa).Amepalalazi (Hemiplegia) itamchukuw muda kuwa sawa na hata ikasabisha kifo.
Kumbe angekuja jumatatu nina uhakika asingefikia hatua hiyo
Anachoma hiyo sindano kwa ugonjwa upi?Una uhakika ana shida inayohitaji antibiotics? Kama ana Malaria itasaidia?Kama ana Shinikizo la dawa dawa hiyo itasaidia?Kama ana Ukimwi dawa hiyo itasaidia?Kama ana kansa je?Mtaani mnaiita pawa sefu
Kachome CEFTRIAXONE IV
yuko bize anahesabu sadaka za wajinga jokesHivi mbona sijamsikia.toka maafa kariakoo
Fanya hiviToka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Mleta mada anza na hapa.kunywa maji yenye limau kwawingi
Sukari,presha,Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Nenda hospitali ujue kinachokusumbua na upate dawa ya kutibu ugonjwa unaokusumbuaToka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Kukugegedaje wakati wewe ni mwanaume ?Me cheti changu Kipo clear kabisa.yaani Mimi kama sijakupima mara Tatu aisee hunigegedi
Kunywa maji mengiii...Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Kwa lugha hii! We Miss Natafuta utakuwa unatafuta! Ugua pole.Me cheti changu Kipo clear kabisa.yaani Mimi kama sijakupima mara Tatu aisee hunigegedi
DUuh ulikuwa unaumwa kumbe?Pole. Na mimi nilikua naumwa hivyo hivyo nikajikausha kama siku 4 nikaona nitafia ndani. Jitahidi uende hospital mama kukaa na ugonjwa nyumbani si kitu kizu