Naumwa naombeni msaada

Naumwa naombeni msaada

Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Nimesikitika sana!!Siyo wewe Watanzania wengi wanatufikia hospitali wakiwa critical wakati wangekuja mapema wasingefikia hatua hiyo!!!

TRUE SCENARIOS

1.Mgonjwa mmoja wa kiume umri wake miaka 52 ,siku ya jumatatu alikuwa anasikia kichwa kinaume(Headache) akaenda tuka la dawa akanunua dawa za Malaria na na dawa za maumivu(Ant Malaria+Analgesics) akarudi nyumani .Jumanne kichwa na mwili kukosa nguvu ikazidi bado hataki kwenda hospitali,akaenda maabara za mtaani akapima mkojo(Urinalysis) na Typhoid akambiwa ana UTI akaenda kununua dawa !

Jumatano akashinda kichwa Bado kinauma ,alhamisi kichwa Bado kipo .

Ijumaa kuamkia Jumamosi kichwa kikazidi mdomo ukapinda akawa hawezi kumalizia sentensi kwa kuongeza

Kufika hospitali pressure inasoma 210/150mmHg
Tayari alikuwa ameshapata stroke ambayo imesababishwa na neglected Hypertension (Shinikizo la Damu kubwa).Amepalalazi (Hemiplegia) itamchukuw muda kuwa sawa na hata ikasabisha kifo.

Kumbe angekuja jumatatu nina uhakika asingefikia hatua hiyo
 
Aisee.ngoja nioge niende mloganzila
Nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Fanya hivi

Ile bicarbonate waijua ile chapa simba?
Uwe unaweka kwenye maji ya vuguvugu nusu Lita kwa kijiko kimoja cha chakula. Uwe unakunywa now and then.

Nyingine

Tangawizi + kitu guu maji + punje tano hivi na kitunguu swaumu chemsha kwa pamoja. Ikipoapoa kamulia limao nusu kwenye kikombe kimoja cha chai. Unywe Mara kwa mara
 
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu

Pole sana!

Watanzania tunapenda sana njia fupi fupi (shortcuts), hatujijali wala kujithamini. Tuna wataalamu wa kutibu lakini hatuwamii ipasavyo kupata ushauri na matibabu sahihi toka kwao bali kwa watu wengine wasio na taaluma husika.

Kila kitu tunafanya kwa mazoea lakini majanga yakitufika basi.......

Hapa watu watakushauri sijui tumia powersef, sijui dawa fulani lakini jiulize tu hizo dawa utakapotumia utakuwa unatibu ugonjwa gani? Ni vyema ugonjwa ukabainishwa ndipo upewe na kutumia dawa sahihi.

Naamini utaenda kuonana na daktari muda ukifika.
Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom