Naumwa sana korodani, naomba ushauri

Naumwa sana korodani, naomba ushauri

Uwiii...mwacheni tuu gono itamsaidia kuing'oa
Unajua mnyama siku zote ndo huwa haelewi au hakomi hata kama akiumia , wakati sisi binadamu huwa tunajifunza kutokana na makosa, sasa kama mtu alifanya kosa anarudia tena kufanya kosa zaidi na zaidi,
Huyo tutamwita "it" badala ya "he"
 
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.

Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.

Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
Ukute Ngiri imekupata na hujui wahinkituo cha afya kilicho karibu nawe
 
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.

Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.

Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
Ukichelewa sana watakufanyia upasuaji kuondoa kichwa kidogo hicho.

Hakikisha unamaliza dozi
 
Back
Top Bottom