Naumwa sana korodani, naomba ushauri

Naumwa sana korodani, naomba ushauri

Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.

Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.

Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
Apo inawezekana ni gonorrhea ama unapenda kuvaa nguo za ndan ambzo hazijakauka vyema Ina leta fangasi
 
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.

Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.

Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
Pole sana au mchwa wameshaingia
 
Store ya sperm imejaa sana.
Tafuta pisi ukammwagie ila usimuache mikono mitupu mpe hata laki ya kujipoza na sperm zako nyingi mithili ya kujaza sado.
 
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.

Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.

Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
Yellow card..2nd yellow led to red card. Abstain if you never heard about condom.
 
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.

Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.

Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
Pole sana mkuu,,,
Nenda hospital ukapimwe
 
Back
Top Bottom