Naumwa sana naomba mniombee

Naumwa sana naomba mniombee

Unataka kubaki duniani ili uendelee kufanya nini?.......we sepa tu.
 
Ngoja nisubiri hadi jioni ndo ntaamini make mda sio mrefu unaweza kuja na post kwamba uko viwanja na wana unakula bata
 
Unaona mambo ya mzaha unaoletaga humu!!! Nimejikuta nacheka masikini!!!

Anyway kama uko serious, nenda hospitali na uanze matibabu. Mungu akulie nguvu na akuponye mkuu.
 
Rafiki zangu,ndugu zangu na wapenzi wangu wote wa JF nahitaji dua zenu maana hali si hali naumwa sana siwezi hata kula,macho yanafifia fifia ,mwili wa moto kila ninachofanya kwangu nakiona kibaya


Wale wote niliowakosea naomba mnisamehe sana ,kwa wale mnaokaa dar mnaweza mkaja nyumbani kuja kuniona mnifariji

Pia nitatoa info zangu zote kwa moderators ikitokea nimekata roho watawaambia


Dunia ni mapito swali kabla hujaswaliwa.
Kufa tu hauna faida kwa jamii na familia!!
 
Back
Top Bottom