dadaake
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,125
- 1,108
Pole.... Nenda hospitality au kama hutaki kwenda anza kuandika wosia mapema
Hospitality ndo wapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole.... Nenda hospitality au kama hutaki kwenda anza kuandika wosia mapema
Ni hospitali mkuu...... ni simu imeamuakunirekebisha ikaandika ivyoHospitality ndo wapi mkuu?
Kufa tu hauna faida kwa jamii na familia!!Rafiki zangu,ndugu zangu na wapenzi wangu wote wa JF nahitaji dua zenu maana hali si hali naumwa sana siwezi hata kula,macho yanafifia fifia ,mwili wa moto kila ninachofanya kwangu nakiona kibaya
Wale wote niliowakosea naomba mnisamehe sana ,kwa wale mnaokaa dar mnaweza mkaja nyumbani kuja kuniona mnifariji
Pia nitatoa info zangu zote kwa moderators ikitokea nimekata roho watawaambia
Dunia ni mapito swali kabla hujaswaliwa.