Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehmu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani.

Sasa selewiii tiba ni nini.
Polee mkuu, unaumwa fungus wapi? Tafuta dawa inaitwa sulphur kwenye maduka au wale wanaouza dawa ya panya,mende,fangas,vibarango.
Au terbinafine kwenye duka la dawa hope itakusaidia,ukizidiwa nenda hospital usichukulie poa isije kukatika io kitu🤭.
 
Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehmu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani.

Sasa selewiii tiba ni nini.
Mkuu pole shukuru hapo ulipofikia wahi hospitalini. Usipofanya hivyo gegedo litasinyaa utadhani sponji na utakojoa mkojo kama mlenda haugusi chini una nesanesa hewani.

Ugua pole ariff
 
Back
Top Bottom