Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
AhsanteKaribuš¤
kuna mafuta yanaitwa PARACHUTI mafuta ya nazi nunua yale jipake kila baada ya kuoga na kujikausha vizuri . paka asubuhi na jioniNdugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani.
Sasa selewiii tiba ni nini.
Haifai hii dawa kwa fangasi za sehemu za Siri atumie clotrimazole au ya aina hiyo ya mafuta whitefield ointmentKama sio STI, tumia/paka dawa ya mba ile ya majimaji ya kijani.
Unapatikana wapi drMkuu pole kwa maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.