Uchaguzi 2020 Naunga mkono aliyoyazungumza Lissu kwenye “ufunguzi wa kampeni” mengi aliyoyasema hatukuyafahamu. Nashauri afanye hivyo kila mkutano

Uchaguzi 2020 Naunga mkono aliyoyazungumza Lissu kwenye “ufunguzi wa kampeni” mengi aliyoyasema hatukuyafahamu. Nashauri afanye hivyo kila mkutano

Majina hayo yanadhihirisha waislamu wana mchango mkubwa katika historia ya Lissu. Mambo hayo yanampa mtu mmoja kiwewe hadi anaamua kuendesha mchango wa ujenzi wa msikiti akiwa kanisani!!

Mfumo wa kisiasa wa nchi hii umekuwa designed makusudi kuhakikisha wapinzani hawawezi kuwaunganisha waislamu na wakristo katika chaguzi kuu.
Good point.
 
Kazi anayo kubwa aisee kama ataamua kiwa mwl wa uraia
Maana kila anakopita lazima amwage notes kwa wananchi huku wenzake wakichanja mbuga kumwaga sera zaoo hahahaaa


Ualimu sio kazi nyepesi mjue, hadi wakuelewe watu ushapoteza muda mwingi wa kumwaga sera haahaaaa,

Lisu inabidi aachane na Uraisi ili aitumikie nafasi ya ualimu vyema aisee
Siyo hotuba yote. Halafu kwa kawaida, hotuba inakuwaga ile ile tu. Tofauti kidogo ina kuwepo pale ambapo anazungumzia kuhusu uchumi wa eneo analopiga kampeni. Lakini hotuba inatakiwa iwe ile ile kwa uzoefu wangu.
 
Kumbe ndio maana hampati watu kuja kusikiliza sera zenu kumbe mnachoongea ndio hiki. Afadhali mnarahisisha uchaguzi kwa wapinzani wenu maana mnajipiga risasi nyie wenyewe..
We unaishi wapi? Hawajapata watu wapi?
 
Back
Top Bottom