Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Naunga mkono hojaQummar nyokoryz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaQummar nyokoryz
Mtu ulikuwa mbunge wa muda mrefu halafu hujui Katibaya nchi inasemaje? Zee pumbavu kabusa hili! Samia kama atashinda uchaguzi atakuwa amemaliza muda wake anapewa kupisha mwingine hiyo 2030 full stop! Kama angeingia madarakani kukiwa kumebaki mwaka mmoja hapo ingekuwa sawa lakini sasa hivi kaingia kipindi cha zaidi ya miaka mitatu hivyo kinahesabika ni kipindi kizima hicho!Nimemsikiliza Mhe.Keissy,mbunge mstaafu,akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media.Ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli.
Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi.
Pia amesema kuwa yeye aliposema Magufuli atake asitake ataongezewa muda wa urais hakumaanisha kuwa aongoze maisha yake yote.Alimaanisha aongezewe kipindi kimoja cha miaka 5 na kufanya aongoze miaka 15 pekee.
Naunga mkono hoja.Mama aongoze hadi 2035.
Mkuu mazezeta kwenye lile jengo Dodoma tupo wengi mno.Mtu ulikuwa mbunge wa muda mrefu halafu hujui Katibaya nchi inasemaje? Zee pumbavu kabusa hili! Samia kama atashinda uchaguzi atakuwa amemaliza muda wake anapewa kupisha mwingine hiyo 2030 full stop! Kama angeingia madarakani kukiwa kumebaki mwaka mmoja hapo ingekuwa sawa lakini sasa hivi kaingia kipindi cha zaidi ya miaka mitatu hivyo kinahesabika ni kipindi kizima hicho!
Huyo mzee ni wale Wazee Wa Hovyoo...
Rais Samia aliapishwa kuwa Rais baada kifo cha Rais Magufuli kwa mujibu wa Ibara ya 37 (5) ya Katiba ya JMT kwa masharti yalivyoelekezwa katika Ibara ya 40 ya Katiba hiyo. Sasa kama tunakubaliana kuwa Samia aliapishwa kuwa Rais kwa mujibu wa Katiba ya JMT kwa nini Katiba hiyo ivunjwe ili kumuongezea kindi cha tatu?Au ni kwa vile Samia mwenyewe haiheshimu Katiba hiyo ambayo alidiriki kuiita kijitabu tu?Nimemsikiliza Mhe.Keissy, mbunge mstaafu, akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli.
Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi.
Pia amesema kuwa yeye aliposema Magufuli atake asitake ataongezewa muda wa urais hakumaanisha kuwa aongoze maisha yake yote. Alimaanisha aongezewe kipindi kimoja cha miaka 5 na kufanya aongoze miaka 15 pekee.
Naunga mkono hoja, Mama aongoze hadi 2035.
Pia soma > Ally Mohamed Keissy: Rais Samia agombee tena Urais ikifika mwaka 2030, hii miaka 4 ilikuwa ya Magufuli
Katika hili nawaomba Moderators walitendee haki hili Jukwaa kwa kuzifuta nyuzi ambazo zinalidhalilisha jukwaa letu pendwa.Kwa sasa CHAWA ni kama tu wamejimilikisha jamii forums. Yaani hata hamu ya kuangalia jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko inaanza kuppotea.
Huyu dingi namfahamu anavuta bangi sana nilishamuona maeneo ya Mbezi Makonde analipuliza nafikiri ana nyumba maeneo hayo.Mtu ulikuwa mbunge wa muda mrefu halafu hujui Katibaya nchi inasemaje? Zee pumbavu kabusa hili! Samia kama atashinda uchaguzi atakuwa amemaliza muda wake anapewa kupisha mwingine hiyo 2030 full stop! Kama angeingia madarakani kukiwa kumebaki mwaka mmoja hapo ingekuwa sawa lakini sasa hivi kaingia kipindi cha zaidi ya miaka mitatu hivyo kinahesabika ni kipindi kizima hicho!
Umemaliza yote.
Na hiyo miandishi ya habari haina uelewa ndiyo maana hayajambana na maswali ya maana! Yanamhoji kama mapumbavu tu!Kuna wakati unajiuliza huyu aliwezaje kuwa mbunge kwa mashudu haya anayozungumza mbele ya umma?
Katiba ipo wazi kwamba endapo Makamu wa Rais atashika madaraka ya Rais kwasababu ya Rais aliyekuwa madarakani aidha kujiuzulu, kufariki dunia ama sababu nyingine yoyote katika kipindi kinachozidi miaka mitatu basi ana haki ya kugombea kipindi kimoja pekee cha miaka mitano.
Ikiwa Makamu wa Rais atashika kiti cha Urais kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu basi atakuwa na haki ya kugombea nafasi ya Urais kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano.
Sasa ukiangalia Rais Samia ameshika madaraka ya Urais kwa kipindi kinachozidi miaka mitatu (2021-2025) hivyo basi ana haki ya kugombea kiti cha Urais kwa muhula mmoja tu wa miaka mitano.
Kessy kakaa bungeni miaka 10, lakini inaonekana hajawahi hata kuisoma katiba ya nchi.Kwani katiba inasemaje kuhusu hili!?
Kwanza ana tuhuma za kuuza pembe za ndovu pamoja na ungaKessy kakaa bungeni miaka 10, lakini inaonekana hajawahi hata kuisoma katiba ya nchi.