Naunga mkono hoja ya Mjumbe C.Magori

Kwani pesa za mchango zinaingia ktk account yake? Inaingizwa pesa ktk account maalum na inakua na msimamizi kabisa sio hao kina magori...
Pia woga ndio adui mkuu wa watanzania... kama wewe jamaa papason
piga ua magori atakuwa signatory wa hiyo 'account maluum', na mwisho wa siku the same kama kama ilivyo tokea kwa akina aveva mnalizwa tena, kweli makolo ni ma mbumbu fc
 
Tukitenga 50bil uwanja unajengwa
Muhimu tu wanachama wajulikane, ada ya uwanja iwepo.
Au zile hisa 51% ndo zitumike jenga uwanja na mwenye hizo hisa ndi amiliki uwanja.
Hata kama ikiwa ni kwa kipindi cha muda fulani kisha baadae unarudishwa clabuni mfaano kwa miaka 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…