OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #61
20k kwa watu 1m inalipika kabisaUwanja capacity ya 30,000 (tukadirie bilioni 80) ujengwe kwa awamu 4. Kila awamu zichangiwe B20.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20k kwa watu 1m inalipika kabisaUwanja capacity ya 30,000 (tukadirie bilioni 80) ujengwe kwa awamu 4. Kila awamu zichangiwe B20.
Sent using Jamii Forums mobile app
piga ua magori atakuwa signatory wa hiyo 'account maluum', na mwisho wa siku the same kama kama ilivyo tokea kwa akina aveva mnalizwa tena, kweli makolo ni ma mbumbu fcKwani pesa za mchango zinaingia ktk account yake? Inaingizwa pesa ktk account maalum na inakua na msimamizi kabisa sio hao kina magori...
Pia woga ndio adui mkuu wa watanzania... kama wewe jamaa papason
Hata kama ikiwa ni kwa kipindi cha muda fulani kisha baadae unarudishwa clabuni mfaano kwa miaka 20Tukitenga 50bil uwanja unajengwa
Muhimu tu wanachama wajulikane, ada ya uwanja iwepo.
Au zile hisa 51% ndo zitumike jenga uwanja na mwenye hizo hisa ndi amiliki uwanja.