Naunga mkono hoja ya Mjumbe C.Magori

Naunga mkono hoja ya Mjumbe C.Magori

Ila Yanga ndo maana manara leo mnamshobokea aliwaita mazuzu [emoji16][emoji16]nyuzi ya Simba mwana Yanga wafata nini...ashki majnuun!!!au siyoo!!!!
 
tukiacha usimba na yanga,hawa Yanga hawatumi i akili kabisa. jambo zuri kama hili la kujenga uwanja wao wanakejeli. walikejeli mchakato wa kampuni wakajikuta n wao wameiga,
 
Vijana mnalamika sana humu kupigwa mizinga na mademu
....afu bado et .....tutachangia tujenge uwanja ........achen ..mihemko......
 
Wazo zuri...
Ila inaoendeza pia tujue walau viwanja vilivyopo afrika vimegharim kiasi gani, ujenga kiwanja standard sio lelemama inahitaji kujipanga haswa. Mfano cha taifa inasemekana kiligharim bil 50 t shs.... naamini cha kawaida kisicho na running tracks na watu kama elfu 35 au 40 kotakua chini ya hapo... labda bil40...
Mazembe kiwanja chao ni simpo na kinachukua watu 18000... sijajua kiligharim kiasi gani...
Mie ktk hili pia nitajikamua nitoe laki walau...
Kama tukiwa mil5 kila mmoja akatoa walau 20000 tutakua mbali, hiyo ni bilioni 100Tshs na uongozi ukijazia aisee inawezekana.... tena uwanja standard...
 
mwisho wa siku huyo tapeli magori atawapiga huo mkopo wa kujenga adi mnyooke …………….
 
D5A28C4E-3117-4B9E-AF25-164B7EC79F26.jpeg

Ok ebu twendeni sawa kidogo tuone tunaweza kiasi gani...
Uwanja wa mkapa inasemekana uligjarim kiasi hicho juu, mil56 USD... kwa rate ya 1USD=2300 ni sawa na shing bilioni 128 na milioni mia nane... 128,800,000,000/=

Tufanye tuko watu mil tano kila mmoja akatoa elfu 30, kuna wengine wataoa zaidi na kuna wengine watatoa kidogo ila wastani tunafanya elfu30 kila mmoja...
5,000,000 * 30,000=150,000,000,000 hii ni bilioni 150.....
Guys, tukiamua inawezekana maana nina uhakika pia baadhi ya makampuni na wasalia wema wanaweza wakajiyolea kuchanga walau mil 5, saba, kumi....
Kukiwa na mpango mkakati mzuri wa kuchangisha hii kitu inawezekana... bili 150 tunaweza pata uwanja wetu mzuri kwa ajili ya mpira tu, hamna shughuli nyingine sijui running tracks au netball hapana... football tu...
INAWEZEKANA....
 
mwisho wa siku huyo tapeli magori atawapiga huo mkopo wa kujenga adi mnyooke …………….
Kwani pesa za mchango zinaingia ktk account yake? Inaingizwa pesa ktk account maalum na inakua na msimamizi kabisa sio hao kina magori...
Pia woga ndio adui mkuu wa watanzania... kama wewe jamaa papason
 
View attachment 2042321
Ok ebu twendeni sawa kidogo tuone tunaweza kiasi gani...
Uwanja wa mkapa inasemekana uligjarim kiasi hicho juu, mil56 USD... kwa rate ya 1USD=2300 ni sawa na shing bilioni 128 na milioni mia nane... 128,800,000,000/=

Tufanye tuko watu mil tano kila mmoja akatoa elfu 30, kuna wengine wataoa zaidi na kuna wengine watatoa kidogo ila wastani tunafanya elfu30 kila mmoja...
5,000,000 * 30,000=150,000,000,000 hii ni bilioni 150.....
Guys, tukiamua inawezekana maana nina uhakika pia baadhi ya makampuni na wasalia wema wanaweza wakajiyolea kuchanga walau mil 5, saba, kumi....
Kukiwa na mpango mkakati mzuri wa kuchangisha hii kitu inawezekana... bili 150 tunaweza pata uwanja wetu mzuri kwa ajili ya mpira tu, hamna shughuli nyingine sijui running tracks au netball hapana... football tu...
INAWEZEKANA....
Uwanja capacity ya 30,000 (tukadirie bilioni 80) ujengwe kwa awamu 4. Kila awamu zichangiwe B20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri...
Ila inaoendeza pia tujue walau viwanja vilivyopo afrika vimegharim kiasi gani, ujenga kiwanja standard sio lelemama inahitaji kujipanga haswa. Mfano cha taifa inasemekana kiligharim bil 50 t shs.... naamini cha kawaida kisicho na running tracks na watu kama elfu 35 au 40 kotakua chini ya hapo... labda bil40...
Mazembe kiwanja chao ni simpo na kinachukua watu 18000... sijajua kiligharim kiasi gani...
Mie ktk hili pia nitajikamua nitoe laki walau...
Kama tukiwa mil5 kila mmoja akatoa walau 20000 tutakua mbali, hiyo ni bilioni 100Tshs na uongozi ukijazia aisee inawezekana.... tena uwanja standard...
Uwanja mpya wa Mazembe utabeba watazamaji elfu hamsini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam walijengaje wao ,mbona unawaza kwa makalio
Azam kipesa unaweza kuifananisha na timu ya Simba.Huyo magori hajitambuhi,tumuulize alichofanya Babra uwanjani ni sawa au si sawa kitaratibu?Tujadili hoja kuliko kuleta ujinga usiokuwa na maana.Hovyo kabisa kumbe huyu mzee akili Hana,kwa hiyo wakijenga uwanja wao hautakuwa na utaratibu kila mtu atakuwa anajiamulia pa kukaa.Kichwa maji kabisa
 
Hawawezi kukubali wakose pesa ya viingilio...
Never
 
Nani atoe pesa za kujenga uwanja? labda zile hisa zilizobakia kwa MO ambazo hata thamani yake bado haitoshi kujenga uwanja mkubwa. Nilitarajie mumkosoe Babra kwa kutokufuata taratibu za kukaa VIP ila watu wameamua kumtetea mtovu wa nidhamu.
Ukiwa na akili za kimaskini hata comment nazo zinakuwa za kimaskini tu
 
View attachment 2042321
Ok ebu twendeni sawa kidogo tuone tunaweza kiasi gani...
Uwanja wa mkapa inasemekana uligjarim kiasi hicho juu, mil56 USD... kwa rate ya 1USD=2300 ni sawa na shing bilioni 128 na milioni mia nane... 128,800,000,000/=

Tufanye tuko watu mil tano kila mmoja akatoa elfu 30, kuna wengine wataoa zaidi na kuna wengine watatoa kidogo ila wastani tunafanya elfu30 kila mmoja...
5,000,000 * 30,000=150,000,000,000 hii ni bilioni 150.....
Guys, tukiamua inawezekana maana nina uhakika pia baadhi ya makampuni na wasalia wema wanaweza wakajiyolea kuchanga walau mil 5, saba, kumi....
Kukiwa na mpango mkakati mzuri wa kuchangisha hii kitu inawezekana... bili 150 tunaweza pata uwanja wetu mzuri kwa ajili ya mpira tu, hamna shughuli nyingine sijui running tracks au netball hapana... football tu...
INAWEZEKANA....
Tupigie watu million moja na ujengwe kwa awamu inawezekana, tatizo watu hatupendi mipango ya muda mrefu.
 
View attachment 2042321
Ok ebu twendeni sawa kidogo tuone tunaweza kiasi gani...
Uwanja wa mkapa inasemekana uligjarim kiasi hicho juu, mil56 USD... kwa rate ya 1USD=2300 ni sawa na shing bilioni 128 na milioni mia nane... 128,800,000,000/=

Tufanye tuko watu mil tano kila mmoja akatoa elfu 30, kuna wengine wataoa zaidi na kuna wengine watatoa kidogo ila wastani tunafanya elfu30 kila mmoja...
5,000,000 * 30,000=150,000,000,000 hii ni bilioni 150.....
Guys, tukiamua inawezekana maana nina uhakika pia baadhi ya makampuni na wasalia wema wanaweza wakajiyolea kuchanga walau mil 5, saba, kumi....
Kukiwa na mpango mkakati mzuri wa kuchangisha hii kitu inawezekana... bili 150 tunaweza pata uwanja wetu mzuri kwa ajili ya mpira tu, hamna shughuli nyingine sijui running tracks au netball hapana... football tu...
INAWEZEKANA....
Mawazo yako yana afya sana
 
Tukitenga 50bil uwanja unajengwa
Muhimu tu wanachama wajulikane, ada ya uwanja iwepo.
Au zile hisa 51% ndo zitumike jenga uwanja na mwenye hizo hisa ndi amiliki uwanja.
 
Back
Top Bottom