Naunga mkono kufungiwa kwa kanisa la Askofu Gwajima

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,920
Reaction score
4,216
Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.

Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.

Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.

Soma Pia: Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi

Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo

OVA natumaini nitapata Commission nzuri
 
Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.

Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.

Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.

Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo

OVA natumaini nitapata Commission nzuri
unasemaje Mulilo?
 
Wewe unga mkono. Si ni wako
 
Ungeongea hayo hadharani wangekuokota kilaza wewe,sijui kwanini hamuongeagi hayo hadharani??!!!
 
Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.

Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.

Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.

Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo

OVA natumaini nitapata Commission nzuri
Waumini wengine wakasali wap
 
Wewe unga mkono.
 
Uzazi wa mpango ni muhimu sana.
IMG_20250603_184038.jpg
 
Uzuri jf hulipwi kwa kuanzisha uzi
Mwaga baba mwagaaa
 
Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.

Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.

Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.

Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo

OVA natumaini nitapata Commission nzuri
Sasa Mayor of Kingston wewe na bongo wapi na wapi?Tuachie yetu wajameni.
 
Mkuu acha uwoga au kuwaogopesha watu, kufa ni kawaida sana, kukamatwa na polisi na kupewa mateso ni sawa na mateso mengine yakukosa chakula wakati ukiwa huna hena... Wewe hutaki shari nivizuri utulie ili wale wanaotaka shari waifanye
 
Akili zako unazijua mwenyewe. Hivi kukemea waTz kutekwa, kupotezwa na kuuliwa kwa sababu zozote zile ni kumtukana mh Rais ?!

Kwamba kushauri mfumo bora wa uteuzi wa vyombo vya dola na maamuzi, ni kumtukana mh Rais ?!.

Sasa kanisa limehusikaJe hapo !!. Kujikomba kumeigharimu sana mchi hii
 
Back
Top Bottom