Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,920
- 4,216
- Thread starter
- #21
Kumsema vibaya prince wa nchi sio jambo dogo,kwamba atolewe machoJambo au sentence gan mbaya aliyoiyumia gwajima dhidi ya mlaka/rais?
Kumsema vibaya prince wa nchi sio jambo dogo,kwamba atolewe machoJambo au sentence gan mbaya aliyoiyumia gwajima dhidi ya mlaka/rais?
Sha chukua changu mapema ,we endelea kushauri watu watafute ajira wakati ajira zimejaaUzazi wa mpango ni muhimu sana.
View attachment 3354805
Mwenzio katoa shuhuda uko Kenya kavuliwa ubingwa kwa mabunzi sijui tango nyie endeleeniMkuu acha uwoga au kuwaogopesha watu, kufa ni kawaida sana, kukamatwa na polisi na kupewa mateso ni sawa na mateso mengine yakukosa chakula wakati ukiwa huna hena... Wewe hutaki shari nivizuri utulie ili wale wanaotaka shari waifanye
Kosa ni kumhusisha prince kwenye mifano yakeAkili zako unazijua mwenyewe. Hivi kukemea waTz kutekwa, kupotezwa na kuuliwa kwa sababu zozote zile ni kumtukana mh Rais ?!
Kwamba kushauri mfumo bora wa uteuzi wa vyombo vya dola na maamuzi, ni kumtukana mh Rais ?!.
Sasa kanisa limehusikaJe hapo !!. Kujikomba kumeigharimu sana mchi hii
Acha kuogopesha watu... Heshima yako na haki yako pamoja na amani lazima uvilinde, ukikosa kimoja wapo lazima ufanye namna yakukipata.Mwenzio katoa shuhuda uko Kenya kavuliwa ubingwa kwa mabunzi sijui tango nyie endeleeni
kwahiyo mauaji,utekwaji na ubakaji wa serikali ya ccm ukaongelee bar kuna watu mnatembea la vilainishi kwenye yas akili zipo matyakoniKama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.
Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.
Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.
Soma Pia: Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo
OVA natumaini nitapata Commission nzuri
Nakukumbusha tu tumbo mponza tyakoSha chukua changu mapema ,we endelea kushauri watu watafute ajira wakati ajira zimejaa
Ali mhusisha Rais moja kwa moja iyo ni sawa na kutuhumu mamlakaGwajima alikuwa anatoa maoni kwa kisingizio kwamba yeye ni Askofu! Really?? Hivi hii nchi mna wadudu kichwani ama ni kitu gani? Na unakuta hili lililoweka hii post limefanya mpaka degree. Vichwa vimejaa mavi tu.
So Gwajima akasema kwa sababu yeye ni Askofu, anatoa maoni sio?
Ayo ni mawazo ya kufikirika leta uthibitishokwahiyo mauaji,utekwaji na ubakaji wa serikali ya ccm ukaongelee bar kuna watu mnatembea la vilainishi kwenye yas akili zipo matyakoni
Huyu mtu sijaona akiandika siku nyingi, yupo poa auHakuna anayeweza kufungia kanisa la Mungu