Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,920
- 4,216
unasemaje Mulilo?Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.
Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.
Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.
Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo
OVA natumaini nitapata Commission nzuri
Wewe unga mkono. Si ni wakoKama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.
Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.
Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.
Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo
OVA natumaini nitapata Commission nzuri
Mme chelewa kujua😂😂kumbe wenzangu mna lipwa ,ngoja na mimi nianze kuunga juhudi
Wako barabarani saiv watachoka tu kanisa la mtu mmojaWamefunga jengo ila siyo kanisa.
Waumini wengine wakasali wapKama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.
Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.
Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.
Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo
OVA natumaini nitapata Commission nzuri
functus officiounasemaje Mulilo?
Wewe unga mkono.Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.
Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.
Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.
Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo
OVA natumaini nitapata Commission nzuri
Hadharani tuna ongelea simba na Yanga tu au ume sahau ?Ungeongea hayo hadharani wangekuokota kilaza wewe,sijui kwanini hamuongeagi hayo hadharani??!!!
Sasa Mayor of Kingston wewe na bongo wapi na wapi?Tuachie yetu wajameni.Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.
Kama mnakumbuka, marehemu Mengi aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kujitetea mbele ya umma baada ya kutofautiana na Mzee wa Msoga. Msiidharau mamlaka. Neno moja tu—bila hata kutolewa amri—linaweza kusababisha uchukuliwe hatua ipasavyo.
Mwisho, msijiamini sana mnapoandika na ku-comment ovyo humu JF mkidhani kuwa serikali haiwezi kuwafuatilia. Unakuta mtu anacomment upuuzi, wakati kwenye thread ya matangazo ameweka namba yake ya simu na eneo alipo.
Rais wetu ni msikivu na mwelewa hata kama ana mapungufu kibao lakini sio sawa kutukana ovyo
OVA natumaini nitapata Commission nzuri
Mkuu acha uwoga au kuwaogopesha watu, kufa ni kawaida sana, kukamatwa na polisi na kupewa mateso ni sawa na mateso mengine yakukosa chakula wakati ukiwa huna hena... Wewe hutaki shari nivizuri utulie ili wale wanaotaka shari waifanyeKama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya kanisa na siyo kanisani.