Naunga mkono kufungiwa kwa kanisa la Askofu Gwajima

Mkuu acha uwoga au kuwaogopesha watu, kufa ni kawaida sana, kukamatwa na polisi na kupewa mateso ni sawa na mateso mengine yakukosa chakula wakati ukiwa huna hena... Wewe hutaki shari nivizuri utulie ili wale wanaotaka shari waifanye
Mwenzio katoa shuhuda uko Kenya kavuliwa ubingwa kwa mabunzi sijui tango nyie endeleeni
 
Kosa ni kumhusisha prince kwenye mifano yake
 
Mwenzio katoa shuhuda uko Kenya kavuliwa ubingwa kwa mabunzi sijui tango nyie endeleeni
Acha kuogopesha watu... Heshima yako na haki yako pamoja na amani lazima uvilinde, ukikosa kimoja wapo lazima ufanye namna yakukipata.

Wewe wafurahia hicho kitendo sio? Au nawe uu mmoja wapo katika wasiojulikana
 
Gwajima alikuwa anatoa maoni kwa kisingizio kwamba yeye ni Askofu! Really?? Hivi hii nchi mna wadudu kichwani ama ni kitu gani? Na unakuta hili lililoweka hii post limefanya mpaka degree. Vichwa vimejaa mavi tu.

So Gwajima akasema kwa sababu yeye ni Askofu, anatoa maoni sio?
 
Team mbu mbu mbu!, umetumwa na ibirisi kufunga huduma za kiMungu....nakuambia utavuna unachopanda🥴
 
kwahiyo mauaji,utekwaji na ubakaji wa serikali ya ccm ukaongelee bar kuna watu mnatembea la vilainishi kwenye yas akili zipo matyakoni
 
Ali mhusisha Rais moja kwa moja iyo ni sawa na kutuhumu mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…