Naunga mkono kwa asilimia mia Serikali kutoagiza Chanjo ya Corona kutoka nje

Pole sana,nahisi una usomi wa namna fulani lakini bahati mbaya huna ufahamu wowote kuhusiana na chanjo zinavyotengenezwa ,zinavyojaribiwa na zinavyotumiwa.Umechanganya siasa na science ni hili ni janga.
Leo hatuuoni ugonjwa wa surua si kwa sababu ya maombi ya siku saba wala kuvukiza bali ni kwa sababu ya chanjo ya surua.
Suala la Corona lina mkanganyiko hasa hapa kwetu Tanzania lakini kwa kuwa tumelifanya ni suala la Usalama wa Taifa basi tukae tuache maji yachukue mkondo wake ila nimesikia mahali ya kuwa pesa za mwenge zitumike kwenye makabilano na corona (nahisi kuna uwezekanao wa second wave).
La pili,epuka sana kutumia neno mabeberu kwani si serikali wala wananchama wa chama kikuu wameweza kutuonyesha mabeberu ni akina nani.
Second wave ? Hapa nipo hospital nimeponea chupuchupu namshukuru Mungu na madaktari
 
Wazungu wasen.ge sana.. huo ni ugonjwa wao.. mbona hawakule vaccine ya ebora ?
 
Wazungu huwa wanachanja hadi mafua na kuna siku niliingia kwenye pharmacy moja huko majuu wakaniuliza kama nahitaji kuchanja mafua, lakini sijawahi kuzisikia huku kwetu. Inawezekana hata korona ikabaki kuwa ugonjwa wenye madhara zaidi kwa wazungu kuliko ngozi nyeusi na hivyo kukawa hakuna umuhimu mkubwa wa kuchanja huku kwetu..
Watu weusi USA na Uingereza wameugua na kufariki wengi tu. Ninachoweza kusema ni kuwa ugonjwa haujaathiri sana bara la Afrika kwa ujumla na hata idadi ya vifo ni ndogo. Hata India na China ukichulia population
vs number of casualities utaona siyo kubwa. Wale wanaosema kuwa maombi ndiyo yamemaliza corona Tanzania ni wa kuhurumiwa sana.
 
Naiunga Mkono Serikali kwa ASILIMIA MIA isiruhusu wala kuagiza CHANJO ya Corona. Hii ni kutokana na taarifa zinazozunguka kuhusu uwezekano wa chanjo kutokuagizwa kuleta hapa nchini.

Hii ni kutokana na mwenendo mzima wa hali ya Ugonjwa Duniani ambayo inaweza kutuoatia taswira ya chanjo yake. Mataifa yaliyoingia mkenge wa kufuata miongozo toka huko yamepata madhara makubwa sana ya Ugonjwa huo.

Itakuwa ni Lisa kubwa sisi kama Taifa kuepuka madhara kwa kukataa vipimo na miongozo yao halafu tukapokea hizo chanjo. Nachelea kuweka tunaweza kulipa gharama kubwa sana!

Kuna taarifa za kutosha kuonesha kuwa ugonjwa wenyewe ulitengenezwa katika maaabara hizohizo ambayo chanjo nazo zinatengenezwa.

Ugonjwa wa Corona pamoja na mambo mengine unalenga kwenye global dominance, imperialism, guess za kibiashara na kuweza kufikia maliasili za mataifa yote. Yapo malengo mengine pia. Ni guess muhimu kujiepusha kuingizwa katika mipango hio hatari.

Ikumbukwe pia kuwa sio Corona tu Bali chanjo nyingi (sio zote) zinaletwa kwa malengo maovu dhidi ya afya zetu.

Mwisho watu binafsi watakaoitaji kuvanjwa iwapo tu ni lazima katika kusafiri basi wazipate kwenye vituo maalumu na wawekwe karantini warejeapo nchini mpaka hapo wataalumu watakaporidhika kama hawezi na kuwaambukiza wengine.
Unapokuta mlevi ambaye hawezi hata kutembea, amekaa chini anajiharishia huku akitukana watu inatakiwa umpuuze. Hivyo hata wewe ni wa kuonewa huruma na kupuuzwa! Kila dawa unayotumia wewe inatoka huko unakoita kwa ''mabeberu wenye lengo baya''. Susia kila kitu basi tujue kuwa kweli wewe ni kidume. Kama ni kututawala mbona wanatutawala kwa kila kitu? Hii forum unayotumia kutuhumu ni product ya nani? Kwa kifupi ni kwamba hizo chanjo zitaanza kutumika huko huko na hawana shida na sisi huku.
 
Kwa kuwa huko Serikalini kumejaa wajinga toka CCM, haitashangaza kupokelewa ushauri huu wa mjinga mwenzao na kuufanyia kazi matokeo yake nchi yetu itazidi kutengwa matokeo yake watalii, wawekezaji na mapartner wa maendeleo hawatakuja. Tayari kwa kutoweka tu takwimu za huu ugonjwa wazi, wageni toka nchi za nje hawaji tena matokeo yake tunayaona, kule Arusha hotel maarufu ya kitalii ya Mount Meru imefungwa kwa kukosa wateja na waliokuwa wafanyakazi na wahudumia watalii wanalia njaa. Ngurdoto ambayo hata Marais wa nchi mbalimbali walikuwa wanafikia nayo imefungwa kama hotel na kufanywa Hostel ya kukaa wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu wanaopata mikopo ya Vyuo Vikuu toka Serikalini ya kujikimu. Hizi ndo Hotel muhimu sana kwa watu muhimu toka nchi za nje na nchini kama Mawaziri, Makatibu Wakuu, MaCEO na wengine ambao kwa hadhi zao hawawezi kukaa Mangi Guest Houses. Haitashangaza Mount Meru Hotel kufanywa Hostel ya Chekechea!
 
Nadhani watanzania wengi hawafahamu suala zima la covid-19. Mie nadhani muongozo unaotolewa au uliotolewa na WHO haukuwa na lengo la kuleta janga. Sioni sababu ya organization hii kuanza kasumba za kisiasa.

Kiufupi tulipofikishwa sasa ni gizani, haijulikani kama tatizo lipo la covid-19 au halipo. Kitu kimoja ambacho naweza kusema kwa uhakika, covid-19 inasumbua zaidi kwenye hali ya hewa ya baridi. Hii tumeona wakati wa summer tatizo lilikuwapo lakini lilikuwa ni dogo na nchi nyingi ziliondosha lock-down au kupunguza masharti. Ilipokija baridi zimerudia pale pale kwenye hard-lock down.

Huu ni ushahidi tosha kuwa TZ kwa hali ya hewa yake inawezekana tatizo likwa ni dogo kuliko nchi za baridi au magharibi. Mie si daktari pengine wenye elimu zaidi watatuekea sawa.
Kweli kabisa bila chenga.
 
Unapokuta mlevi ambaye hawezi hata kutembea, amekaa chini anajiharishia huku akitukana watu inatakiwa umpuuze. Hivyo hata wewe ni wa kuonewa huruma na kupuuzwa! Kila dawa unayotumia wewe inatoka huko unakoita kwa ''mabeberu wenye lengo baya''. Susia kila kitu basi tujue kuwa kweli wewe ni kidume. Kama ni kututawala mbona wanatutawala kwa kila kitu? Hii forum unayotumia kutuhumu ni product ya nani? Kwa kifupi ni kwamba hizo chanjo zitaanza kutumika huko huko na hawana shida na sisi huku.
Mjinga mwelimishe asipoelewa mwache watu wengine wana akili za kuongozwa ongozwa eti kisa mkuu wa nchi kawaaminisha hakuna korona Tanzania.
 
Naiunga Mkono Serikali kwa ASILIMIA MIA isiruhusu wala kuagiza CHANJO ya Corona. Hii ni kutokana na taarifa zinazozunguka kuhusu uwezekano wa chanjo kutokuagizwa kuleta hapa nchini.

Hii ni kutokana na mwenendo mzima wa hali ya Ugonjwa Duniani ambayo inaweza kutuoatia taswira ya chanjo yake. Mataifa yaliyoingia mkenge wa kufuata miongozo toka huko yamepata madhara makubwa sana ya Ugonjwa huo.

Itakuwa ni Lisa kubwa sisi kama Taifa kuepuka madhara kwa kukataa vipimo na miongozo yao halafu tukapokea hizo chanjo. Nachelea kuweka tunaweza kulipa gharama kubwa sana!

Kuna taarifa za kutosha kuonesha kuwa ugonjwa wenyewe ulitengenezwa katika maaabara hizohizo ambayo chanjo nazo zinatengenezwa.

Ugonjwa wa Corona pamoja na mambo mengine unalenga kwenye global dominance, imperialism, guess za kibiashara na kuweza kufikia maliasili za mataifa yote. Yapo malengo mengine pia. Ni guess muhimu kujiepusha kuingizwa katika mipango hio hatari.

Ikumbukwe pia kuwa sio Corona tu Bali chanjo nyingi (sio zote) zinaletwa kwa malengo maovu dhidi ya afya zetu.

Mwisho watu binafsi watakaoitaji kuvanjwa iwapo tu ni lazima katika kusafiri basi wazipate kwenye vituo maalumu na wawekwe karantini warejeapo nchini mpaka hapo wataalumu watakaporidhika kama hawezi na kuwaambukiza wengine.
Mtengenezaji alikuwa nani vile?
 
Hili andiko ni wenye kutafakari na kuchuja mambo makubwa watakuelewa, Hongera kwa kuona Dunia inavyokwenda.
 
Pole sana,nahisi una usomi wa namna fulani lakini bahati mbaya huna ufahamu wowote kuhusiana na chanjo zinavyotengenezwa ,zinavyojaribiwa na zinavyotumiwa.Umechanganya siasa na science ni hili ni janga.

Leo hatuuoni ugonjwa wa surua si kwa sababu ya maombi ya siku saba wala kuvukiza bali ni kwa sababu ya chanjo ya surua.

Suala la Corona lina mkanganyiko hasa hapa kwetu Tanzania lakini kwa kuwa tumelifanya ni suala la Usalama wa Taifa basi tukae tuache maji yachukue mkondo wake ila nimesikia mahali ya kuwa pesa za mwenge zitumike kwenye makabilano na corona (nahisi kuna uwezekanao wa second wave).

La pili,epuka sana kutumia neno mabeberu kwani si serikali wala wananchama wa chama kikuu wameweza kutuonyesha mabeberu ni akina nani.

Mkuu Umeeleza vema sana sana...
Naomba ufafanuzi kwa yafuatayo!
1.Inasemekana hata chanjo ya Ukimwi wanayo ila kwakuwa inagharama sana na Nchi za Ulimwengu wa 3 ambao ndio waathirika wakubwa hatuna fedha wakasitisha.
2.Issue ya Corona imezagaa kuwa Wanasiasa wa huko Ulaya waanze wao kwanza Kupata chanjo,Ingawa wanaogopa,
Pili nasikia kwenye mitandao aliambiwa Billl gaate achanje watoto wake akakataa!
3.Trump pamoja na Akili zake anazizijua yeye ila ana misimamo kuna Kitu amekataa kuhusu Corina na Chanjo zao,na Makampuni ya Afya madawa ndio yanategemea kupiga Fedha nyingi sana sana hapo!
4.Hii nimeisoma 100% Waziri mkuu wa Australia kawatangazia wananchi wake kuwa wao watatengeneza chanjo yao na Itatumika kwa wananchi wao wote,
Nadhani hata Mataufa ya Ujerumani france yanahuo utaratibu!
Sasa sisi duuu?
Magufuli Simama na hili kama mwanzo,Uzuri Raisi wetu ana Taarifa nyingi na Za Kutosha kuhusiana na suala hilia Corona kuliko hata Sisi!
Kuna Kipindi aliposema fyatueni watoto ana ujumbe mzito nyuma yake,
Nahisi aanajua moango ovu wa kutupunguza waafrica....hii nimechomekea tuu hahahah
 
Naiunga Mkono Serikali kwa ASILIMIA MIA isiruhusu wala kuagiza CHANJO ya Corona. Hii ni kutokana na taarifa zinazozunguka kuhusu uwezekano wa chanjo kutokuagizwa kuleta hapa nchini.

Hii ni kutokana na mwenendo mzima wa hali ya Ugonjwa Duniani ambayo inaweza kutuoatia taswira ya chanjo yake. Mataifa yaliyoingia mkenge wa kufuata miongozo toka huko yamepata madhara makubwa sana ya Ugonjwa huo.

Itakuwa ni Lisa kubwa sisi kama Taifa kuepuka madhara kwa kukataa vipimo na miongozo yao halafu tukapokea hizo chanjo. Nachelea kuweka tunaweza kulipa gharama kubwa sana!

Kuna taarifa za kutosha kuonesha kuwa ugonjwa wenyewe ulitengenezwa katika maaabara hizohizo ambayo chanjo nazo zinatengenezwa.

Ugonjwa wa Corona pamoja na mambo mengine unalenga kwenye global dominance, imperialism, guess za kibiashara na kuweza kufikia maliasili za mataifa yote. Yapo malengo mengine pia. Ni guess muhimu kujiepusha kuingizwa katika mipango hio hatari.

Ikumbukwe pia kuwa sio Corona tu Bali chanjo nyingi (sio zote) zinaletwa kwa malengo maovu dhidi ya afya zetu.

Mwisho watu binafsi watakaoitaji kuvanjwa iwapo tu ni lazima katika kusafiri basi wazipate kwenye vituo maalumu na wawekwe karantini warejeapo nchini mpaka hapo wataalumu watakaporidhika kama hawezi na kuwaambukiza wengine.
Mitandao ya simu zetu ikianza tu kutumia teknolojia ya mawasiliano ya 5G tutajikuta tukiitaka wenyewe chanjo hiyo kwa udi na uvumba. Nchi zote ambazo zimewahi kuingia ktk teknolojia hii ndizo zenye visa vingi vya maambukizi ya COVID-19.

Ni suala tu la wakati ambapo tutajikuta tupo ndani ya eneo la hatari. Dunia ni kijiji ambapo hatuwezi kukwepa mitego ya NWO ya kuifanya dunia kuwa chini ya serikali na dini moja ulimwenguni kote. Ndiyo! Hii ni "consipiracy theory" lkn matayarisho ya utekelelezaji wake yapo timamu.

Macho yote yajielekeze kwa mikakati ya kidunia ya Emmanuel Macron na Pope Francis. Kuna uwezekano mkubwa dunia ikawa tayari imedhihirishiwa na imeshampata mpinga Kristo na yule nabii wa uwongo.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Umeeleza vema sana sana...
Naomba ufafanuzi kwa yafuatayo!
1.Inasemekana hata chanjo ya Ukimwi wanayo ila kwakuwa inagharama sana na Nchi za Ulimwengu wa 3 ambao ndio waathirika wakubwa hatuna fedha wakasitisha.
2.Issue ya Corona imezagaa kuwa Wanasiasa wa huko Ulaya waanze wao kwanza Kupata chanjo,Ingawa wanaogopa,
Pili nasikia kwenye mitandao aliambiwa Billl gaate achanje watoto wake akakataa!
3.Trump pamoja na Akili zake anazizijua yeye ila ana misimamo kuna Kitu amekataa kuhusu Corina na Chanjo zao,na Makampuni ya Afya madawa ndio yanategemea kupiga Fedha nyingi sana sana hapo!
4.Hii nimeisoma 100% Waziri mkuu wa Australia kawatangazia wananchi wake kuwa wao watatengeneza chanjo yao na Itatumika kwa wananchi wao wote,
Nadhani hata Mataufa ya Ujerumani france yanahuo utaratibu!
Sasa sisi duuu?
Magufuli Simama na hili kama mwanzo,Uzuri Raisi wetu ana Taarifa nyingi na Za Kutosha kuhusiana na suala hilia Corona kuliko hata Sisi!
Kuna Kipindi aliposema fyatueni watoto ana ujumbe mzito nyuma yake,
Nahisi aanajua moango ovu wa kutupunguza waafrica....hii nimechomekea tuu hahahah
You write all what you believe to know.
 
Back
Top Bottom