Pole sana,nahisi una usomi wa namna fulani lakini bahati mbaya huna ufahamu wowote kuhusiana na chanjo zinavyotengenezwa ,zinavyojaribiwa na zinavyotumiwa.Umechanganya siasa na science ni hili ni janga.
Leo hatuuoni ugonjwa wa surua si kwa sababu ya maombi ya siku saba wala kuvukiza bali ni kwa sababu ya chanjo ya surua.
Suala la Corona lina mkanganyiko hasa hapa kwetu Tanzania lakini kwa kuwa tumelifanya ni suala la Usalama wa Taifa basi tukae tuache maji yachukue mkondo wake ila nimesikia mahali ya kuwa pesa za mwenge zitumike kwenye makabilano na corona (nahisi kuna uwezekanao wa second wave).
La pili,epuka sana kutumia neno mabeberu kwani si serikali wala wananchama wa chama kikuu wameweza kutuonyesha mabeberu ni akina nani.
Mkuu Umeeleza vema sana sana...
Naomba ufafanuzi kwa yafuatayo!
1.Inasemekana hata chanjo ya Ukimwi wanayo ila kwakuwa inagharama sana na Nchi za Ulimwengu wa 3 ambao ndio waathirika wakubwa hatuna fedha wakasitisha.
2.Issue ya Corona imezagaa kuwa Wanasiasa wa huko Ulaya waanze wao kwanza Kupata chanjo,Ingawa wanaogopa,
Pili nasikia kwenye mitandao aliambiwa Billl gaate achanje watoto wake akakataa!
3.Trump pamoja na Akili zake anazizijua yeye ila ana misimamo kuna Kitu amekataa kuhusu Corina na Chanjo zao,na Makampuni ya Afya madawa ndio yanategemea kupiga Fedha nyingi sana sana hapo!
4.Hii nimeisoma 100% Waziri mkuu wa Australia kawatangazia wananchi wake kuwa wao watatengeneza chanjo yao na Itatumika kwa wananchi wao wote,
Nadhani hata Mataufa ya Ujerumani france yanahuo utaratibu!
Sasa sisi duuu?
Magufuli Simama na hili kama mwanzo,Uzuri Raisi wetu ana Taarifa nyingi na Za Kutosha kuhusiana na suala hilia Corona kuliko hata Sisi!
Kuna Kipindi aliposema fyatueni watoto ana ujumbe mzito nyuma yake,
Nahisi aanajua moango ovu wa kutupunguza waafrica....hii nimechomekea tuu hahahah