Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Acha kukariri, nikuulize swali jepesi tu, umeshawahi kufika Chattle kabla na baada ya Urais wa jamaa?
 
miaka 5 ya mwisho tunafanya land reclamation tunapasua ardhi maji ya bahari yakuje Chato ili Jolly Diamante na Nicoline Maersk zishushe na kupakia mizigo huko hapo ndiyo mtatia akili.
Hahahaha umeisahau Jolly bianco
 
Pascal Mayalla teuzi zozote za ' Magogoni Taita ' zikija kuanzia leo hii na kuendelea usipokuwepo nakuomba haraka sana ukaoge maji ya Bahari kule Kisiwa Ndui Zanzibar kwani utakuwa na ' Nuksi ' iliyotukuka kabisa ila kwa hili ' bandiko ' lako naomba niwe tu wa Kwanza kukuambia anza sasa kufanya mazoezi ya Kula Kiapo, Kuongea Kimamlaka na Kuvalia Suti zile ' Classic ' kabisa kwakuwa nina uhakika ' ngoma ' imeshatiki kwani ' Magogoni Taita ' hupenda mno ' Sifa ' kama hizi ulizozitoa katika hitimisho la bandiko lako.
 
Sometimes unapenda kusifia hata upuuzi au wewe kila kitu kwako ni kizuri huko unapojengwa huo uwanja una manufaa gan kiuchumi , kwanin hizo pesa za uwanja angetumia hata kuweka na kuboresha Afya, kujenga Shule za kisasi , kutoa na kuwezesha ukulima/ufugaji wa kisasa huko Kijijin kwao kama ishu ni kuwapendelea kwao kwanin asiboreshee mazingira ya kiuchumi ya wananchi wa huko

Lakin kitaifa hizo pesa tunahitaji kujenga na kuboresha miundo mbinu ya bandari ya Mtwara huko kuna fursa kubwa kiuchumi endapo ile bandari ingekuwa vizuri lakin pesa hizo zilikuwa na uwezo wa kujenga au kuboresha miundo mbinu ya hospital na kuokoa maisha ya watu wengi tu.
 
Pascal Mayalla umelipwa bei gani?
 
Hiyo airport kwa mtazamo wangu naona ni wastage of resources.
Strategically, eneo hilo halina cha kuvuta watu kuitumia hiyo airport.
Hamna biashara, hamna utalii, hamna circulation ya pesa. In fact, ni total wastage! Hiyo pesa angalau ingeelekezwa kujenga barabara za kiwango cha lami mikoa ya magharibi.

P.s:
Your thread is very sarcastic.
 
Maandiko yako mengi yanaenda kinyumenyume. Inahitaji utashi kidogo ili mtu kuyaelewa. Unayaandika kimtegomtego hivii. Ila mi nimekuelewa brother. Unapondea kwa kusifia then unawaacha wasomaji watafsiri wawezavyo but you can not be sued from any point of your writing.
 
Au kile cha A man of the people.
 
Paskali ahsante. Najua message sent lakini wangapi wamekupata? "Kwa jinsi yalivyopanda.....katika miaka hii miwili....ikifika miaka 10 tu itakuwaje sbuttle"? Kama akiwa waziri hoteli ya kimataifa ilipanda je akiwa mkuu nini
kitapanda? Tunapigana na ufisadi lakini tunawapa vyeo watoa rushwa na wenye SMG.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Hahahaa Pasco you are so creative, kwa mtu mwenye mawenge hawezi kuona ujumbe uliomo hasa kwa wenzangu wa upande wa 'if you go slowly you can't cure the corruption disease', kwa uandishi wako I salute you.
"if you go slowly you can't cure the corruption disease"

Aibu ya mwaka.
N:B kwenye L hutamka R
Kaaaaaazi kwerli kweerli.
 
Mkuu Paschal na wewe siku zingine sijui huwa unatumia kinywaji gani jioni? Mwanza kwenyewe hawana uwanja wa ndege, Mkulu akimaliza muda wake nani atakuwa anaenda Chattle?
Kwani anaishi peke yake? Halafu huo sio uwanja wa chato pekee bali mkoa wa geita.Idadi ya watu wa geita ni 1.8m wanazidi watu wa Zanzibar lkn idadi ya watu wa chato ni 400,000 inazidi idadi ya watu wa Lindi mjini, kabla ya wageni idadi hiyo haitoshi kuwa na uwanja wao wa ndege?

Chato ina mbuga ya wanyama iitwayo Rubondo Islands lkn kuna utalii wa majini kupitia ziwa Victoria.

Chato na muleba ni wazalishaji wa sangara wanaochakatwa kwenye vwanda vya mwanza kwa asilimia 80.

Chato kuna soko la kimataifa la samaki linalotegemewa sana na warundi warwanda na wacongo.

Geita ni mkoa wenye mgodi/migodi ya dhahabu.

Lkn chato palichaguliwa kujengwa kiwanja husika cha mkoa kwa sababu ina eneo kubwa ambalo halihitaji fidia hii ni sab kubwa ya kiuchumi.

Kwa kawaida sehemu yoyote ambayo rais wa nchi husika ametokea automatically inakuwa ya kitalii kama ilivyo butiama,msoga na lushoto alikohamia mkapa.

Lkn serikali imeazimia kuwa na uwanja wa ndege kila mkoa,hivyo Geita kwa factors hizo inafaa kuwa na kiwanja cha ndege tena imechelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…