Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Kwa vile mambo ya ulinzi wa viongozi wakuu/Rais ni classified. Ila angekuja mtaalamu hapa akaelezea hayo mambo mpingao kujengwa huo uwanja mngejiona wajinga.

Wakati wa Nyerere kulikuwa na kambi forty ikoma.

Hapo msoga hatujui gharama ya kile kijiji. Lakini mbele kidogo kuna majengo ya kambi.

Huko lushoto twaambiwa kuna kasiri la kufa mtu.

Tatizo la chato ni kwamba mambo haya ya kujemgwa uwanja wa ndege, gharama za ujenzi na mkandarasi zime/ame julikana hatukuzoea kuyajua na kuwekwa wazi kwa kiasi hiki.

Viongozi waliopita mambo haya ya ujenzi ya kifanywa na jeshi hata poropoganda ilikuwa ni vigumu hata bajeti zake ni siri sirini.
 
Kuandika kwako kiujanja huchoki? Leo umechemka yaani umeonyesha huna hata fikra za kufikiria nje ya box... hata kufanya karisechi huwezi fikiria..unambeza tu..

Yaani na wewe ni kuwashwa washwa. nilitegemea utaongelea hata juu ya wananchi wa maeneo ya huko.. na jinsi watakavyofaidika katika mengi.. kuliko sasa wanavyotumia masaa mengi kufikia uwanja wa ndege wa karibu.

Leo umechemka na wewe umekuwa mdaku mwenye wivu ulivyombeza Mkulu tena.

Pole yako kumbe hauna maujuzi kabisa zaidi ya udaku.. ngoja nikuchekeeee ha ha haaaaa
Haya ni magofu ya uliokuwa uwanja wa ndege alioujenga Dikteta Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga kijijini kwake kama Magufuli anavyojenga Chato International Airport nyumbani kwake bila kuzingatia uchumi wa eneo husika. Wasiwasi wetu usije ukabaki magofu kama haya akaitia hasara serikali ya kulinda magofu.
8dbac820-e933-49a5-8883-4208baad971a-2060x1236.jpeg
2645d9fc-d331-45f5-865f-9470dcade545-2060x1310.jpeg
9d5f02a2-ede1-4780-a3ed-4caab3e01c40-2060x1297.jpeg
32c0ddd8-e5eb-4fa4-b6c0-3805d94c844a-2060x1236.jpeg
 
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa eneo la Omukajunguti na badala yake uwanja wa kimataifa unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi Naunga Mkono Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika kushuhudia miundombinu na kula raha Chato.

Justification why not Omukajunguti
imetolewa kuwa eneo hilo ni swamp area, ambayo ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is
swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows, watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama akiwa waziri tuu alishusha the best in Chato, sasa hivi alivyo, atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya ajabu, vitu vinaota, na kuna kitu moja kimeshuka na kupanda juu, hii kitu sii kitu sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather, hadi WiFi Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili, kama haya tunayoyaona ni miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni natural God given only, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, **** mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast).

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji106] [emoji106]
Mkuu Paschal na wewe siku zingine sijui huwa unatumia kinywaji gani jioni? Mwanza kwenyewe hawana uwanja wa ndege, Mkulu akimaliza muda wake nani atakuwa anaenda Chattle?
 
Nitake radhi upesi kwa kuniita Bwege Nazi kabla sijakuchafulia hapo kibaruani kwako.

Kubali kuwa umetoka kapa kumuelewa paskali.

Halafu huwa napenda kweli ' Kutishiwa ' kwasababu hata Mimi mwenyewe pia ni Mtu wa ' matukio ' vile vile halafu ni ' Mafia ' niliyetukuka hivyo narudia tena kusema kwamba Wewe ni ' Bwege Nazi ' na ' Guluguja '. Kazi Kwako!
 
Kwa vile mambo ya ulinzi wa viongozi wakuu/Rais ni classified. Ila angekuja mtaalamu hapa akaelezea hayo mambo mpingao kujengwa huo uwanja mngejiona wajinga.

Wakati wa Nyerere kulikuwa na kambi forty ikoma.

Hapo msoga hatujui gharama ya kile kijiji. Lakini mbele kidogo kuna majengo ya kambi.

Huko lushoto twaambiwa kuna kasiri la kufa mtu.

Tatizo la chato ni kwamba mambo haya ya kujemgwa uwanja wa ndege, gharama za ujenzi na mkandarasi zime/ame julikana hatukuzoea kuyajua na kuwekwa wazi kwa kiasi hiki.

Viongozi waliopita mambo haya ya ujenzi ya kifanywa na jeshi hata poropoganda ilikuwa ni vigumu hata bajeti zake ni siri sirini.
we nae acha kupuyanga foti ikoma na butiama unajua kuna umbali gani?

kwa kukusaidia tuu hua kunajengwa kota vyumba kadhaa kwa ajili ya walinzi na office zao

wewe ndo ulkua hujui gharama so usichukulie wote

kujenga kwa kutumia askar ni kwa ajili ya kukeep ramani ya jengo privately
 
Mkuu Pascal una akili ila mwoga mwoga

Kwani katika Historia yako uliyoisoma / kuhadithiwa au katika Kumbukumbu zako zote hata zile ulizosimuliwa tu na Babu au Bibi yako ulishawahi kusikia kuna ' Shujaa ' yoyote katokea Usukumani? Tuanzie hapo Kwanza Mkuu. Naturally Wasukuma ni waoga sana ila Ubabe wao hupenda sana kufanyia Mifugo yao na pale wanapokuwa wanakula Ugali wao Saa Nne ( 4 ) asubuhi.
 
Kuandika kwako kiujanja huchoki? Leo umechemka yaani umeonyesha huna hata fikra za kufikiria nje ya box... hata kufanya karisechi huwezi fikiria..unambeza tu..

Yaani na wewe ni kuwashwa washwa. nilitegemea utaongelea hata juu ya wananchi wa maeneo ya huko.. na jinsi watakavyofaidika katika mengi.. kuliko sasa wanavyotumia masaa mengi kufikia uwanja wa ndege wa karibu.

Leo umechemka na wewe umekuwa mdaku mwenye wivu ulivyombeza Mkulu tena.

Pole yako kumbe hauna maujuzi kabisa zaidi ya udaku.. ngoja nikuchekeeee ha ha haaaaa
Akili za Lumumba izi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huyu bwana atacreate artificial mbuga ya wanyama huko Chato na kuhamisha simba, tembo, swala, nyati, chui, nyumbu etc kutoka huko zilipo. Chato mtaenda tu. Mkisusa nyie, hata wale wanaume wa Canada watakwenda. Yohanne Baptiste Yohanne sio wa spotispoti
 
Back
Top Bottom