Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Chato kuna utalii wa aina nyingi sana. Enzi hizi kutakua kunaishi aliyeingia Magogoni kwa Push ups, ikumbukwe Chato ndiye sehemu pekee duniani ambapo Mikokoteni ya Punda na wapanda baiskeli wamefungiwa mataa ya barabarani. Imagine Punda anaongozwa na mataa.
Pia Chato ndiye eneo ambalo linaingeza kwa mikakati ya kujitenga. Ilijitenga kutoka Biharamuro, kipindi hicho ikiwa jimbo tu la uchaguzi, ikajiunga na Mwanza , halafu Chato hiyo hiyo ikiwa kwenye hadhi ya jimbo tu, ikaanzisha mchakato mwingine wa Kujitenga kutoka Mwanza, napo ikafanikiwa na kyzaliwa mkoa wa Geita na Chato ikafanikiwa kuwa Wilaya. Sasa hivi ni Chato Product inayoivuruga vuruga nchi, huku ikiiyumbisha na huku ikiipiga gamzi kwenye mambo muhimu. Who knows the next Chato move? Labda itaji mobilise na kujiondoa kutoka Geita, itaimeza Biharamuro na baadhi ya maeneo ya Kagera na Geita na kutengeneza mkoa mpya wa Chato. What next? Itaanzisha movement, Chato itakua eneo la kimkakati la kudhoofisha usalama na Diplomasia ya nchi ili Chato ambayo kwa umakini wa hali ya juu itakua imepandikiza watu wake sehemu mbali ianze harakati za kujimega kutoka Tanzania na either kujiunga na upande mwingine au kusimika himaya yake yenyewe. Msiidharau Chato. Rwanda waliyapuuza mambo haya wakayachukulia poa. Sasa hivi harakati za kusimika na kusambaza utawala wa Bahima umepamba moto kila kona.
Ni swala la wakati tu na ili hili lifanikiwe, mkoa wa Kagera utaendelea kudumazwa kwa kila kitu ili Chato kwa kutumia miundo mbinu na huduma kadhaa iwe na influence ndani ya Kagera. Poa Geita litabaki limkoa la kubwa jinga tu. nao utaendelee kulishwa uji wa chumvi huku Geita ikiitegemea Chato kwa kila kitu. Hapa tayaro Chato itakua ndiyo the heart kwa upande ule. Kitakachofuata ni historia kuandikwa.