Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!.

Wengi tunajificha nyuma ya huu usemi, tunasahau maana yake halisi.
Binafsi nimekuelewa!
 
Paskali, sijajua wasiwasi wako unatoka wapi? Labda ungetuambia uwanja utakosa idadi ya kutosha ya watumiaji (critical mass) kujustify huo uwekezaji kwa sababu pengine kuna gharama fixed iwe uwanja unafanya kazi au haufanyi kazi. Hii ni pamoja na malipo ya kudumu ya wafanyakazi watakaosimamia mambo ya kila siku ya hapo uwanjani. Lakini kama utakuwa ni international, wafanyakazi zaidi wataongezeka mfano wale wa uhamiaji, afya n.k
 
[HASHTAG]#paschal mayalla[/HASHTAG] Usishangae mwenzio akaanza kutumia haya maneno yako Kujustify Construction(in his own voice) ya Chato International Airport
 

Hizo akili zako kaa nazo mwenyewe

Subirini mbaki mataaa mkitamani msingeandika majanga ya nyie kuvunjana mioyo.. nyie ni watanzania wachache ambao ni mabomu na mnatia aibu.. fikra zenu za - muwe mnakaa nazo na hii mnaonyesha ubaguzi mkubwa na dharau kwa watu wanaoishi upande huo wa nchi.
 
F
Huu wangalau ndio uandishi unaoweza kukuacha salama awamu hii. Lakini kitendo cha kufunguka mazima yakikukuta ya Lissu usilie. Bigup Paskali kwa uandishi huu kwani kunguru mwoga .....
Fumbo mfumbie mjinga, mwerevu hung'amua
 
Tatizo la lako ni kwamba, paskal kaandika kile ambacho hukutaka kukisikia ama kukisoma. Lakini kumbuka kwamba na wewe unaweza kuandika kwa kufanya research kama ambavyo unataka Paskal aandike.

Unajua kazi yake au unabwabwaja tu kutaka aandike kama wakuja!?
 
Issue sio kuwa kuna watu wanaishi huko Chato bali economic stability ya eneo husika, je kuna biashara gani ya kuufanya uwanja uwe productive, active wakati wote na sio dormant.
 
Aweke na bahari, simba, tembo, kuku, sungura, Ng'ombe, farasi, ziwa, asali njia nzima, maziwa kwenye mabomba, madem wakali, ndipo tutakuja chattle.
 
Hizi ndizo zile "White Elephant Projects" ambazo kama nchi ingekuwa really a democratic country, zisingeruhusiwa kutokea.

Lkn kwa kuwa demokrasia tunaichukulia kuwa ni uchaguzi kila baada ya miaka mitano mitano, tutarajie zaidi ya haya.
 
Nawe unarusha rungu porini?! Hebu tueleze mashujaa wanatokea wapi?! Tukafanye utalii huko [emoji23]

Kwa faida yako na wengine wote ni kwamba Mashujaa pekee wa Tanzania wanatokea tu katika hii Mikoa mitatu ( 3 ) tajwa na ndiko pia wanapatika Wanamume na siyo Wanaume. Mikoa yenyewe ni:
  1. Mara ( Musoma ) Kimedani unaitwa Kombania A
  2. Iringa Kimedani unaitwa Kombania B
  3. Tabora Kimedani unaitwa Kombania C
Mikoa mingine yote ambayo sijaitaja hapo wanatoka tu ' Wanaume ' watupu na bahati nzuri hata wenyewe wanajijua / wanalitambua.
 
Issue sio kuwa kuna watu wanaishi huko Chato bali economic stability ya eneo husika, je kuna biashara gani ya kuufanya uwanja uwe productive na sio dormant.

Sasa wewe na wenzako kwanini hamjaulizana hilo na kwanini unaona haliwezekani.. au pia hujui kuwa itavutia mengi sana huko..

Hata wewe ukifikiria kiwanda utaweza kimbilia huko ukijua itakuwa na mengi marahisi kuliko kuwa kwente miji mikubwa katika mengi..

JPM hawezi kufanya jambo bila kufikiria mbele.. mie namuaminia atawashangaza wengi sana..

Usishangae mfano Apple ikisema itajenga data centre huko pia... eeeh yes makampuni makubwa na nyie mnajiita wa mjini mkakimbilia huko..

Kwa sasa kaeni huko mbali na sisi wengine na vifikra vyenu negative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…