radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Naunga mkono hoja yako Bw. Pascal Mayalla, unajuwa wabongo wengi si watu wa kuona mbali na hawapendi kuambiwa ukweli au hata maendeleo tu wanaona shida, hawataki kuyakubali. Kiwanja cha ndege cha Chato kitasaidia pia wasafiri wa Burundi, Rwanda na DRC kutoka Dar. Nasema hivi kwa sababu kuna wengine wanapenda sana usafiri wa mabasi ili wapate kushuhudia vitu njiani kama mimi mwenyewe. Kwa sie tunaosafiri hizi nchi mara kwa mara huu uwanja wa Chato utatusaidia sana kufupisha safari zetu. Tutakuwa tunachukua ndege from Dar mpaka Chato then from there tunajiendesha tu au kuchukua mabasi mpaka our final destination which will be a matter of hours badalal ya siku kadhaa.
Pole sana mkuu kwa kwa kudakwa na pascal