mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Huu wangalau ndio uandishi unaoweza kukuacha salama awamu hii. Lakini kitendo cha kufunguka mazima yakikukuta ya Lissu usilie. Bigup Paskali kwa uandishi huu kwani kunguru mwoga .....
Pascal hapa uliitumia vyema fasihi andishi...kwanini umetumia miji ya mobutu Kama mfano?
Mji huu umetelekezwa kwa Sasa.
Je Chato after death of his beloved EX-MP utatelekezwa?