Naungana na CHADEMA kwenye suala la kuitafuta Katiba Mpya, wakati wa Katiba Mpya ni sasa

3. Taasisi kuwa na maamuzi na utendaji kulingana na uwezo kielimu, uzoefu, weledi nk
Kwasasa watendaji na taaluma zao wooote wanaangalia mtukufu rais anataka nini, bila kujali wao wamesomea na wanaujuzi kwasababu ya taaluma zao kuliko rais wanaacha nakuimba mapambio ya kusifu na kumtukuza mheshimiwa rais..... matokeo yake tunakwama

Katiba mpya ituondowe kwenye jinamizi la kumfanya rais mtendaji wa mambo nakufanya vyote na chochote hatakama katiba inakataza..... mhimili wenye mizizi mirefu unaathili tija na ufanisi wa mingine
 
4. Bungeni kuwe kivyake

5. Judiciary iwe kivyake

Tunahitaji separation of power kwa vitendo na tuone kwa macho na akili zetu kwamba instruments are trustworthy independent

Wasaalam
 

Kwa bahati mbaya ww na wajinga wenzako wa ccm mnaona kama katiba mpya ni nyaraka ya uchaguzi, matokeo yake ndio huu ujinga wote mnaongea. Wakati katiba hii inapatikana mwaka 1977 maendeleo yalikuwa hayafanyiki ndio ikatungwa? Au mnaaogopa mazingira mazuri yatakayoletwa na hiyo katiba mpya, hayatawapa nafasi nyie wajinga kuendelea kuburuza wananchi? Labda utuambie bila kuacha shaka, ni kwa jinsi gani katiba mpya itasimamisha hayo maendeleo.
 
Nyumbu wa saccos wanahangaika Sana.
 
Naunga mkono pendekezo lako, lakini chombo cha kuchambua na kutengeneza Katiba mpya kiwe na Wajumbe 64 pekee. 18 watoke Vyama vya Siasa, 14 Majaji na Wanasheria, 12 makundi ya kidini, 8 Serikalini, 6 Taasisi za Elimu na 6 Sekta binafsi.
 

inamaaana huu ndo utakua mwisho wa viongozi za chadema maaana weng hawajagusa shule
 
Kuna vyeo vingine vinahitaji ujue kusoma na kuandika tu inatosha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…