Naungana na Ndugai: Vijana wengi sio waaminifu, amesahau uvivu tu

Mimi sijui mkuu
Kwa Mimi unaona hana Amani???
Kwenye vikao na mikutano yote aliyokuwa akiitwa na shujaaz jamaa alikuwa anatinga viti vya mbele kabisa na yale mabwanga yake... Akiwa active kuishangilia, kuimba, kusifu na kuabudu... Sa hivi wa baridiiiiiii... Hii hali pia anaiexperience PM!
 
Mimi kuna kijana nilimfunza kazi hadi akakomaa nikamuajiri nikampa mshahara na marupurupu mazuri

Alifanya kazi vizuuri kwa miezi sita akakutana na wenzake wakamwambia ati ni fala kwanini asiibe Diesel akaanza kuniibia nikamtimulia mbali

Shida ya Mavijana ni wanadanganyana sana.
 
Hana moral authority lakini Ana haki kikatiba kutoa maoni yake mkuu

Hata hivyo labda tungejiuliza hao Vijana wazazi wao ni kina nani kama sio
Na mwana wa nyoka ni nyoka
Kutoa maoni yake ruksa. ila hayana impact yoyote. Ni porojo zetu za kawaida zimezoeleka. Tuanze kuishi yale tunayoyasema na kuyaamini ili jamii yetu iwe na mabadiliko. Moral Authority is much more than constitution rights. Kama kusema ni issue basi hata Afande Sele anasema
 
Yote hayo yanasababushwa na poor mindset tulizonazo waafrika tulio wengi yaani hand to mouth kind of thinking

Mtu anataka ashibe leo kesho mungu atajua yaani anailetea tamaa elfu ishirini sehemu ambapo angekuwa na subira angepata millioni moja

Na hili tatizo sio Tanzania tu ni africa yote especially kusini mwa jangwa la sahara kote huko ni vilio vya kukosekana uaminifu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂😂
 
Kuna mmoja kaajiriwa duka la dawa akawa anaweka na dawa zake anauza.
 
Vijana wanapenda sana maisha na utajiri wa haraka haraka ndio maana wengi wanakuwa miscellaneous.

Hat mimi nilikuwa na vijana wangu wawili wa shamba.Baadae nikaona niwapumzishe nitafute wengine. Hawa nikawanunulia Boda Boda wajikimu.Nikawaambie waniletee 5,000 tu kwa siku.Wakashindwa nikawanyang'anya pikipiki nikaziuza.Niliwashangaa sana.
 
Maskini hana uaminifu hata siku moja.

Alisikika mlinzi wa kisima akisema
 
Uaminifu ni pamoja na kuhakikisha yeye kama kiongozi wa Bunge anakuwa na wabunge halali kwa maana ya wabunge waliochaguliwa na vyama vyao au kuteuliwa na Rais (viti maalum). Kuwa na Wabunge maarufu kama Covid 19 manake ni kwamba yeye kama kiongozi wa Bunge sio mwaminifu hata kidogo....
 
Vijana wavivu na sio waaminifu ni matokeo ya wazazi wetu.

Hivyo anachokieleza kinawarudia wao wenyewe.
hata kukosa nguvu za kiume ni matokeo ya wazazi wnu? mnalalamikiwa mpaka bungeni tena mlalamikaji anasema ana uzoefu na amefanya tafiti kuona kabisa hamumridhishi[kumfikisha kileleni]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…