Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

Kwa mtazamo wangu ni idea mbaya kudhani hivo kuwa Mungu hayupo May be achana na attribute za Mungu ambaye anawasilishwa na watu wa imani zinazotambulika mpaka sasa ambazo zimefanya watu waamini kwa kuamini na sio kuamini kwa kutenda. Ushauri tafuta attribute zako ambazo utaona ni za kimungu na mtafute kumjua huyo Mungu you will value his/Her omnipotent, Omniscience and many.
 
Ni mjinga pekee anayeweza kusema Gari limejitengeneza lenyewe
Ukiona mtu ujue yupo muumba.
Au hiyo mizimu imewahi kukuambia imekuumba

Alaf usitumie mifano ya wahuni wachache wanaojiita wachungaji kugeneralize Mambo
Wachungaji wa kweli wapo
Wapi Mimi nimetaja wachungaji...lakini hata hivyo kama wapo wakweli nielekeze niwafahamu
 
Labda majini yake yalikuwa yamekufa kama yanakufaga. Hivi hayo majini kweli yana exist?
 
Graduates jobless wote hawaamini
 
Kuna wanafiki wanaishi kwenye kaulu ya kusema, " We amini Mungu yupo hata usipomkuta hakuna hasara".

Huo ni unafiki wa kiwango cha juu mtu kubashiri mambo ya imani. Tofauti yao na wasioamini uwepo wa Mungu ni ndogo sana
 
Mimi nimekataa kuwa mnafiki mungu hayupo
 
Hoingera sana. Uamuzi wako ni nusu ya kuukiri Uislam.

Waislam wote tunaamini hakuna Mungu ...ispokuwa Allah.

In shaa Allah ujaaliwe umalizie nusu ya pili, kwa kutafakari na kupima na kusoma wewe mwenyewe bila kushinikizwa.

Hongera sana.
 
FaizaFoxy nakushukuru ila simpendi Allah Wala mjumbe wake yeyote...nitaliabudu Jua na Mizimu ya kwetu​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…