Naunganishaje Simu na Tv smart tv (Casting)

Naunganishaje Simu na Tv smart tv (Casting)

Kwa Adnroid.
Washa Tv, ingia menu kisha tafuta sehemu imeandikwa Screen sharing, baada ya hapo bonyeza hapo itaanza kusearch....wakati Tv inaendelea kusearch, washa WiFi kwenye simu yako, nenda setting kisha nenda more connection>>cast, bonyeza cast, itaanza kuitafuta Tv yako. Na baada ya sekunde 3 kule kwenye Tv utaanza kuona icons za simu yako.
Hapo unakuwa umemaliza mchezo.
Karibu.
View attachment 2954746

View attachment 2954747

View attachment 2954749
asante baby girl
 
Ni TCL
Home kuna Apps.. netflix, youtube nk
TCL nilitumia muda kidogo.
Ila mimi nilikuwa naingia kupitia mfumo wa Screen Mirroring.....ndiyo hiyo Screen Sharing.....hebu bonyeza hapo.
Hakuna Smart Tv isiyo na Sharing/Mirroring.....ni kuitafuta hapohapo
Utaipata tu
 
Back
Top Bottom