Nauona ushindi wa Taifa Stars hapo kesho lakini Kamati ya Ushindi ina ukakasi. Kesho tunaandika historia mpya!

Mimi binafsi naipenda nchi yangu lakini ghafla nimejikuta nikitamani Uganda waibuke washindi baada tu ya kuikuta sura ya makonda kwenye timu ya taifa.
Uganda 3 Tanzania Bashite.
Tafsiri ya jina bashite ni kuzungusha yaani sifuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulizembea kwenye mech ya kufuzu huko kwa king mswati ko kipigo kinatuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kwenye kundi letu Swaziland (Eswatini) haipo!! Hii inatoa taswira wengi mnao omba Tz ifungwe hamjui ata mnaongelea nini!! Nyie ni wale ikifika season ya mpira mnakua mnawaonea wivu wapenzi wampira wanavyo enjoy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina. Ila Kamati ina ukakasi sana. Haipaswi kurudiwa hali hii
Nadhan Watanzania pia tumekua nyuma hatuna moyo was kujitolea tunawasubiri wanasiasa.
Wachezaji was zamani wangejitokeza pamoja na watu maarufu kuiunga mkono ingekua poa.
Makonda sio mdau makubwa wa soka kwa hiyo ilitakiwa spate support kutoka kwa wajuzi was haya mambo.
Licha ya hayo mapungufu tumeonesha uthubutu.
Ningekua Dar ningetoa full support.
 
Nachojiuliza ni kwamba ikitokea tumeshinda na kule Lesotho kashinda bado tutakunywa kwa nusu bei? Kwa mustakabali mwema wa timu yetu ni heri kesho tushinde na kule Lesotho apoteze, vinginevyo, sioni tena washabiki wakiishangilia stars labda miaka mingi sana ijayo.
 
Hawaandiki historia bali historia itajirudia. Taifa Stars iliwahi kushiriki fainali za mataifa ya Afrika mwaka 1980. Fainali hizo zilifanyikia Nigeria. Simba ndio wameandika historia maana, tangu muundo mpya wa mashindano uanze wenye makundi, hakuna timu yoyote ya Tanzania viliyowahi kuvuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali. Zamani ulikuwa mtindo wa mtoano tu hadi fainali.
 
Kuna dalili Kenya atapita,akaungane na Uganda na Burundi..Bila Air Rwanda kushnei sasa sijui hii kichwa ilimtesa Mwinyi kama itafua dafu kwa vidole..Tukishinda itakuwa safi ila 2020 kuna watu watasema ila wao timu isingefuzu..
 
Haji tu ndio kafanikisha soka siasa na timu yake ya Msimbazi..
 
Hivi wewe unaweza kuingilia shughuli usiyoalikwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MSINIULIZE MATOKEO YA LESOTHO HAYA YA STARS NAYAJUAAA NAWATAKIA KILA LA KHERI WOTE

USHINDI 99% HAYOO YA AFCON TUENDELEZEE MAOMBI HAKUNA ANACHOSHINDWA MOLA WETU
 
WAFUNGAJI WATARAJIWA

MBWANA SAMATA./S.MSUMVA.....

KAMA MVUA ITANYESHA ATAFUNGA BEKI MAHIRI WA KLABU KUBWAA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…