Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
- Thread starter
- #41
Amina. Ila Kamati ina ukakasi sana. Haipaswi kurudiwa hali hiiKesho Taifa Stars itashinda ingawa kuna watu wanaiombea mabaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina. Ila Kamati ina ukakasi sana. Haipaswi kurudiwa hali hiiKesho Taifa Stars itashinda ingawa kuna watu wanaiombea mabaya.
Mbona kwenye kundi letu Swaziland (Eswatini) haipo!! Hii inatoa taswira wengi mnao omba Tz ifungwe hamjui ata mnaongelea nini!! Nyie ni wale ikifika season ya mpira mnakua mnawaonea wivu wapenzi wampira wanavyo enjoy.Tulizembea kwenye mech ya kufuzu huko kwa king mswati ko kipigo kinatuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,tuombe tupate ushindi
Makondakta asingekuwa mwenyekiti kama asigekuwa na uhakika wa ushindiNakuhakikishia Kesho TUNAFUNGWA na kutolewa.
Wameshaanza kuingiza siasa mpirani.
Naomba usiku na mchana tufungwe ili Bashite na wenzake waaibike.
In sha allah maombi yangu yatajibiwa.
Nadhan Watanzania pia tumekua nyuma hatuna moyo was kujitolea tunawasubiri wanasiasa.Amina. Ila Kamati ina ukakasi sana. Haipaswi kurudiwa hali hii
Haji tu ndio kafanikisha soka siasa na timu yake ya Msimbazi..Nachojiuliza ni kwamba ikitokea tumeshinda na kule Lesotho kashinda bado tutakunywa kwa nusu bei? Kwa mustakabali mwema wa timu yetu ni heri kesho tushinde na kule Lesotho apoteze, vinginevyo, sioni tena washabiki wakiishangilia stars labda miaka mingi sana ijayo.
Hivi wewe unaweza kuingilia shughuli usiyoalikwa?Nadhan Watanzania pia tumekua nyuma hatuna moyo was kujitolea tunawasubiri wanasiasa.
Wachezaji was zamani wangejitokeza pamoja na watu maarufu kuiunga mkono ingekua poa.
Makonda sio mdau makubwa wa soka kwa hiyo ilitakiwa spate support kutoka kwa wajuzi was haya mambo.
Licha ya hayo mapungufu tumeonesha uthubutu.
Ningekua Dar ningetoa full support.
Hao hater's Waaibike, wafedheheke kila laheri stars.Kesho Taifa Stars itashinda ingawa kuna watu wanaiombea mabaya.