Uko mkoa upi ndugu?Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana,imetembea km 300 tu na ina bima ndogo,ina fire extinguisher,latra na triangle zake ikiipata ni road tu.
Rejesho ni 139400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni lake ili akimaliza deni iwe yake aje pm mi nahitaji laki 8 tu kati ya milioni niliyotanguliza,kisha namkabidhi.karibuni na picha hizi hapa;
View attachment 2555226
NakaziaWeka location na njia za makabidhiano ili iwe rahisi kwa mhitaji
Huo mkopo ni wa muda gani? Mpaka kuumalizaJina linasoma la kampuni,siku ukimaliza mkopo inatoka kadi ya jina lako,hata mie mpaka napewa halikuwa linasoma langu
Ok mkuuDar es salaam tabata. Makabidhiano tunafika kwa kampuni niliyokopa wabadili majina ya mkopa kwenda kwa mkopaji mwingine,hata wao wameshauri hivyo.
Ni hatari sana; hizi hesabu ni ngumuSiyo kwa riba hiyo.
Hii ni sawa na wale jamaa BAYPORT.
Sema tu BAYPORT unapewa Pesa ila kwa hawa jamaa unapewa chombo. Ila model ya unyonyaji kwa watu maskini bila huruma ni ileile. Mungu atunusuru na huu unyonyaji kwa sababu ya umaskini wetu sisi wabongo!
Hii ni zaidi ya unyonyajiNi hatari sana; hizi hesabu ni ngumu
Rejesho kwa wiki 139,400 kwa muda miezi 24
Kimahesabu: 139,400 X 4 = 557,600/- kwa mwezi
557,600 x 12 = 6,691,200/- kwa mwaka
6,691,200 x 2 = 13,382,400/- kwa miaka miwili
Ili urudishe huu mkopo wa namna hii unahitaji ''discipline'' ya hali ya juu.
Wabongo tunanyonywa sana kutokana na umaskini wetu. Wenye mamlaka nao wapo kimya kama hawaoni..Ni hatari sana; hizi hesabu ni ngumu
Rejesho kwa wiki 139,400 kwa muda miezi 24
Kimahesabu: 139,400 X 4 = 557,600/- kwa mwezi
557,600 x 12 = 6,691,200/- kwa mwaka
6,691,200 x 2 = 13,382,400/- kwa miaka miwili
Ili urudishe huu mkopo wa namna hii unahitaji ''discipline'' ya hali ya juu.
Dah jamaa hatakiwi kulala kwa miaka miwili Ni balaa 9.5 above.Siyo kwa riba hiyo.
Hii ni sawa na wale jamaa BAYPORT.
Sema tu BAYPORT unapewa Pesa ila kwa hawa jamaa unapewa chombo. Ila model ya unyonyaji kwa watu maskini bila huruma ni ileile. Mungu atunusuru na huu unyonyaji kwa sababu ya umaskini wetu sisi wabongo!
Khaaa jamaa aingize elfu 30 kwa siku labda ndo itawezekanaa sasa bajaji elfu 30 kwa siku utaitoa wapi??? hapo hujalaa..mafutaaa pia.Ni hatari sana; hizi hesabu ni ngumu
Rejesho kwa wiki 139,400 kwa muda miezi 24
Kimahesabu: 139,400 X 4 = 557,600/- kwa mwezi
557,600 x 12 = 6,691,200/- kwa mwaka
6,691,200 x 2 = 13,382,400/- kwa miaka miwili
Ili urudishe huu mkopo wa namna hii unahitaji ''discipline'' ya hali ya juu.
kwani bajaji mpya si mil 7 hivii...??? so kuna ongezeko la mil 6+Dah jamaa hatakiwi kulala kwa miaka miwili Ni balaa 9.5 above.
Hakika dunia sio fair
Ukiwa na shida ya njaa Mkuu, kisha ukaoneshwa chakula kilipo, unakuwa kama kipofu. Yaani unaweza sema nipeni hiyo Bajaji hata kwa rejesho la laki kwa siku mie nitapambana kufa kupona nilete. Narudia tena, njaa si rafiki mwema...Khaaa jamaa aingize elfu 30 kwa siku labda ndo itawezekanaa sasa bajaji elfu 30 kwa siku utaitoa wapi??? hapo hujalaa..mafutaaa pia.