Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haijakaa sawa, vipi Kwa vile kampuni ndio wenye kadi ya umiliki, Je wanahusika na matengenezo!? Say maintenance ya dharura!? Na vipi waliruhusu bima ndogo!? Ikiibiwa!? Ikipata ajali!?Ni hatari sana; hizi hesabu ni ngumu
Rejesho kwa wiki 139,400 kwa muda miezi 24
Kimahesabu: 139,400 X 4 = 557,600/- kwa mwezi
557,600 x 12 = 6,691,200/- kwa mwaka
6,691,200 x 2 = 13,382,400/- kwa miaka miwili
Ili urudishe huu mkopo wa namna hii unahitaji ''discipline'' ya hali ya juu.
kumbuka alitanguliza milion so riba ni zaidi ya milion sabaHii mikataba ya kinyonyaji riba zaidi ya 58.33% kwa mwaka,
Nipe namba zakoNilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road tu.
Rejesho ni 139,400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni lake ili akimaliza deni iwe yake aje pm mi nahitaji laki 8 tu kati ya milioni niliyotanguliza,kisha namkabidhi.
Karibuni na picha hizi hapa;
40%Riba asilimia 90 😀 😀 😀
Aisee, ni hatari..Jamaa kapigwa riba ya [emoji817].. my kwa m6 huyu mkopeshaji hawezi kuionja harufu ya pepo kabisa ..
Yaan hata ikitokea watu wote tukapewa ofa ya kuuona ufalme wa Muumba ,,mkopeshaji huyu hawezi kupewa ofa sheitwan mkatatili.
Nadhani ndio sababu ya kukataza riba.Siyo kwa riba hiyo.
Hii ni sawa na wale jamaa BAYPORT.
Sema tu BAYPORT unapewa Pesa ila kwa hawa jamaa unapewa chombo. Ila model ya unyonyaji kwa watu maskini bila huruma ni ileile. Mungu atunusuru na huu unyonyaji kwa sababu ya umaskini wetu sisi wabongo!
Hesabu ya bajaj kwa siku bila mkataba ni tsh elfu 20 kwa siku na wwtu wanafanya hivyo miaka na miaka. Iweje ushindwe kuvumilia miaka 2 halafu bajaj iwe yako?Ni hatari sana; hizi hesabu ni ngumu
Rejesho kwa wiki 139,400 kwa muda miezi 24
Kimahesabu: 139,400 X 4 = 557,600/- kwa mwezi
557,600 x 12 = 6,691,200/- kwa mwaka
6,691,200 x 2 = 13,382,400/- kwa miaka miwili
Ili urudishe huu mkopo wa namna hii unahitaji ''discipline'' ya hali ya juu.
Ukijifunga mkanda unaweza tu. Hesabu hiyo ya week ni sawa na elfu 20 kwa siku ambapo ni hesabu ya kawaidaSiyo kwa riba hiyo.
Hii ni sawa na wale jamaa BAYPORT.
Sema tu BAYPORT unapewa Pesa ila kwa hawa jamaa unapewa chombo. Ila model ya unyonyaji kwa watu maskini bila huruma ni ileile. Mungu atunusuru na huu unyonyaji kwa sababu ya umaskini wetu sisi wabongo!
samahani uko wanakopesha pikipiki nielekeze nahitaji pikipikiDar es Salaam Tabata, Makabidhiano tunafika kwa kampuni niliyokopa wabadili majina ya mkopa kwenda kwa mkopaji mwingine, hata wao wameshauri hivyo.
Habarii naiitaka hii nipo siliazi kama hujauza bado tuwasiliane 0768452940Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road tu.