Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

Kwa wabongo walivyo itakula kwako, wewe wauzie bajaj na mkopo. Muende kwenye kampuni ukamkabidhi na sio arejeshe kwa niaba YAKO imekula kwako.
 
Hii haijakaa sawa, vipi Kwa vile kampuni ndio wenye kadi ya umiliki, Je wanahusika na matengenezo!? Say maintenance ya dharura!? Na vipi waliruhusu bima ndogo!? Ikiibiwa!? Ikipata ajali!?
 
Ila Naona hukuwa na business plan hivyo ulifuata mkumbo, ngoja waje wenye mpangokazi WA biashara hiyo, ila inaonekana unatakiwa Kwa siku upate angalau 139,400/7 = 19,915 Bila dharura yoyote!! Huu ni wizi WA kupindukia
 
Nipe namba zako
 
Jamaa kapigwa riba ya [emoji817].. my kwa m6 huyu mkopeshaji hawezi kuionja harufu ya pepo kabisa ..

Yaan hata ikitokea watu wote tukapewa ofa ya kuuona ufalme wa Muumba ,,mkopeshaji huyu hawezi kupewa ofa sheitwan mkatatili.
Aisee, ni hatari..
 
Nadhani ndio sababu ya kukataza riba.
 
Hesabu ya bajaj kwa siku bila mkataba ni tsh elfu 20 kwa siku na wwtu wanafanya hivyo miaka na miaka. Iweje ushindwe kuvumilia miaka 2 halafu bajaj iwe yako?
 
Ukijifunga mkanda unaweza tu. Hesabu hiyo ya week ni sawa na elfu 20 kwa siku ambapo ni hesabu ya kawaida
 
Bajaji ni kisanga niliuza mapema kabla mambo hayajawa mengi ni biashara ngumu sna halafu risk as unaweza hata kugongwa na ukawa mwisho wa chombo
 
Dar es Salaam Tabata, Makabidhiano tunafika kwa kampuni niliyokopa wabadili majina ya mkopa kwenda kwa mkopaji mwingine, hata wao wameshauri hivyo.
samahani uko wanakopesha pikipiki nielekeze nahitaji pikipiki
 
Habarii naiitaka hii nipo siliazi kama hujauza bado tuwasiliane 0768452940
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…