INAUZWA Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA

Mp4real

Senior Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
141
Reaction score
147
Habari!
Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA imetembea km 1500.
Nimenunua 8,100,000
-Ina bima kubwa mnaita comprehesive ya mwaka 1, itaexpire 07/02/2024. Kwa 600,000
-ina latra ya 32000 expire 07/02/2024
-fire extinguisher 15000.
-triangle 8000.
-sticker 2000.
Ikiichukua ni barabarani tu.
Nauza 8,000,000 kwa hasara.
Karibu PM

 
Hiyo bajaji ushauza? Kama bado nicheki kwa 0685510781 nipo serious
 
Haina mkopo hio? 🤣
 
Daaah,pole sana mkuu huo mkopo lazima ukushinde,yaani ndani ya huo mkopo wa miaka 2 tu unawapa faida karibu milioni 6?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…