INAUZWA Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA

Ushaingiza milion kupitia hyo bajaj,,kwa nn unauza mil 8??au ndio biashara ilivyo...pia jua hyo bima huwez kuuza kwa hyo iondoe kwenye hesabu yako...ukiuza bima mnunuzi inabid akaweke yake
 
Mnada umefungwa,mods futeni uzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…