Nauza Beach Plot/Shamba langu lililopakana na Bahari Kigamboni(Dalali Hatakiwi).

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
WanaJF niko Serious ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2 na Robo lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na niko tayari kwenda popote Mnunuzi atakapohitaji kumthibitishia,Shamba lenyewe ni Beach plot na lipo karibu sana na bahari kwa umbali usiozidi nusu (0.5) km!.Shamba halijapimwa bado ila lina Hati ya kawaida ya manunuzi ya serikali ambayo yalisimamiwa na Serikali za Mtaa husika.Ila majirani zangu wanaonizunguka ambao ni Wahindi wote wamepima maeneo yao na wamezungushia uzio hivyo kuleta urahisi wa kupima eneo hilo.Bei ya mwisho ni shilingi Milioni kumi na nane tu (18),Tafadhali sihitaji Dalali!Kwa maelezo zaidi nipigie kwa namba yangu 0715979498 kwa Malengo ya Biashara tu kwa wenye nia au wanaohitaji kupaona au kujiridhisha.(NASISITIZA HAKUNA UDALALI WALA DALALI HATAKIWI)

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Dalali unamkwala kwa Madalali wenzio

Hembu tupia picha tuone.Maana bei rahisi sana isije kuwa ndio yale yale
 
acha hizo chief.....biashara ni network badilisha strategy ya biashara hiyo haraka ufanye hiyo kazi
 
Ili tangazo naliona kwa mara ya tatu mara ya kwanza kutangaza ilikuwa 2013,wewe utakuwa msanii tu
😛osted january 2014:
WanaJF nimepata Matatizo hivyo nimeamua kuuza Shamba langu lililoko Beach Kigamboni eneo la Buyuni upande wa Baharini jirani kabisa na Bahari,Nimezungukwa na Wahindi na wameshaweka Fensi za Seng'enge,Ukubwa ni Heka Mbili na Robo tatu almost heka tatu,Shamba ni langu mwenyewe nalimiliki kihalali,sitaki dalali ajiingize humu,niko tayari kwenda kokote mnunuzi atakapotaka kumthibitishia kabla hajanunua,Bei ya Mwisho ni Milioni 14,Shamba liko sehemu nzuri sana upande wa Baharini na liko salama halina Mgogoro wowote,kwa wanaohitaji mawasiliano yangu ni 0715979498,TAFADHALI PIGA KWA MAZUNGUMZO YA BIASHARA YA SHAMBA HILI TU.Nawashukuru.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hapa anasema eka mbili na robo lile tangazo la mwanzo anasema eka tatu kasoro kuweni makini jamaa mpigaji huyu.

WanaJF niko Serious ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2 na Robo lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na niko tayari kwenda popote Mnunuzi atakapohitaji kumthibitishia,Shamba lenyewe ni Beach plot na lipo karibu sana na bahari kwa umbali usiozidi nusu (0.5) km!.Shamba halijapimwa bado ila lina Hati ya kawaida ya manunuzi ya serikali ambayo yalisimamiwa na Serikali za Mtaa husika.Ila majirani zangu wanaonizunguka ambao ni Wahindi wote wamepima maeneo yao na wamezungushia uzio hivyo kuleta urahisi wa kupima eneo hilo.Bei ya mwisho ni shilingi Milioni kumi na nane tu (18),Tafadhali sihitaji Dalali!Kwa maelezo zaidi nipigie kwa namba yangu 0715979498 kwa Malengo ya Biashara tu kwa wenye nia au wanaohitaji kupaona au kujiridhisha.(NASISITIZA HAKUNA UDALALI WALA DALALI HATAKIWI)

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
CC Invisible busara zako zahitajika hapa,kama huyu jamaa ni tapeli kweli basi ashughulikiwe maana hili tangazo lipo kwenye jukwa la biashara pia kwahiyo anaweza kuliza wadau
 
Last edited by a moderator:
mkuu unaidhalilisha fani,

ukiwa tapeli Uwe na KUMBUKUMBU.
Sio tapeli unakuwa msahaulifu hivyo halafu unatumia techniques zilezile.

Kama Vipi ni PM nikufundishe kazi, wengine tuna uzoefu wa hii kazi.
 
Invisible mwingine huyu hapa kajileta mwenyewe,ban inahusika hapa
 
Last edited by a moderator:
WanaJF niko Serious ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2 na Robo lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na niko tayari kwenda popote Mnunuzi atakapohitaji kumthibitishia,Shamba lenyewe ni Beach plot na lipo karibu sana na bahari kwa umbali usiozidi nusu (0.5) km!.Shamba halijapimwa bado ila lina Hati ya kawaida ya manunuzi ya serikali ambayo yalisimamiwa na Serikali za Mtaa husika.Ila majirani zangu wanaonizunguka ambao ni Wahindi wote wamepima maeneo yao na wamezungushia uzio hivyo kuleta urahisi wa kupima eneo hilo.Bei ya mwisho ni shilingi Milioni kumi na nane tu (18),Tafadhali sihitaji Dalali!Kwa maelezo zaidi nipigie kwa namba yangu 0715979498 kwa Malengo ya Biashara tu kwa wenye nia au wanaohitaji kupaona au kujiridhisha.(NASISITIZA HAKUNA UDALALI WALA DALALI HATAKIWI)

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hilo shamba ni beach kweli au beach 2
 
Back
Top Bottom