INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

tellakona

Member
Joined
Feb 22, 2023
Posts
15
Reaction score
29
Habari wapendwa,

vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu.

1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20000)

2. Lamination machine mpya kabisa ina box lake (bei ya kuuza 70000)

Picha za Mashine zote zimekuwa attached.

Karibuni sana, kwa anayehitaji tafadhali anipigie kwa namba 0693733218.

 

Attachments

  • SmartSelect_20230202-121831_Gallery.jpg
    48.9 KB · Views: 24
Ushaviuza?
 
Habari wapendwa,

Vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu.

1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20,000)

2. Lamination machine mpya kabisa ina box lake (bei ya kuuza 70,000)

Picha za Mashine zote zimekuwa attached.

Karibuni sana, kwa anayehitaji tafadhali anipigie kwa namba 0685063688.




 
Unapatikana wapi mkuu
 
Habari wana Jamii Forums.

Nauza:

1. Printer Epson L3150 kwa Tshs. 300000.

2. Lamination Machine kwa Tshs. 70000

3. wino wa Epson L3150 full set kwa Tshs. 30000.

Mwenye uhitaji tafadhali anipigie kwa namba 0612373688,

ASANTE.

 
Habari wana Jamii Forums.

Nauza:

1. Printer Epson L3150 kwa Tshs. 300000.

2. Lamination Machine kwa Tshs. 70000

3. wino wa Epson L3150 full set kwa Tshs. 30000.

Mwenye uhitaji tafadhali anipigie kwa namba 0612373688,

ASANTE.
Unapatikana wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…